Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtaalamu mmoja mzalendo alinisimulia kwamba mradi wote ukikamilika na kuzalisha 2100MW, TANESCO wana uhakika wa kukusanya 270Bilion kwa mwezi ambapo haya ni makadirio ya chini kabisa. Kwenye hiyo 270B gharama wanazolipia taasisi ya maji kwa mwezi hazifiki hata 10M. Ingelikuwa kiasi sawa cha Umeme kimezalishwa kwa kwa kutumia mitambo ya gas basi hapo zaidi ya robo ingeltumika kulipia gas.
Huyu jamaa alichoongea kinafikirisha sana.
 
Wewe ni ndezi kweli ,
Kwamba huyu mwigulu akienda kule jimboni kwake Singida anakuta hizo foleni za banks na hayo maharusi na hizo namba E nyingi? Wewe hali ya kijijini kwenu kuna namba E na foleni za banks? Watu walioko kwenye system wameongezewa wigo wa kufanya madili, mimi mke wangu yupo kwenye mfumo naona haya mambo yanavyoenda. Such a rotten government na mandezi kama wewe mpo kushangilia.
 
Leo nimepata taarifa kuwa public hospitals za Tanzania ndio zinaongoza Africa nzima kwa huduma nzuri za tiba, vifaa na modernity
Kwamba Temeke na mwananyamala zina huduma nzuri? Anyway mimi ndio maana sipendi hulka za kikunya za kutaka kushindana na ranks za namna hii. Ni bora tufanye mambo kwa ajili yetu. Serikali ifanye tu basics.
 
Wewe ni ndezi kweli ,
Kwamba huyu mwigulu akienda kule jimboni kwake Singida anakuta hizo foleni za banks na hayo maharusi na hizo namba E nyingi? Wewe hali ya kijijini kwenu kuna namba E na foleni za banks? Watu walioko kwenye system wameongezewa wigo wa kufanya madili, mimi mke wangu yupo kwenye mfumo naona haya mambo yanavyoenda. Such a rotten government na mandezi kama wewe mpo kushangilia.
Wewe ndio ndezi mkubwa.Ndio namba E zipo Hadi Vijijini Kwa sababu Mama amefingua Barabara za Vijijini Kupitia tozo mambo ni 🔥🔥

Harafu nyie mafala ambao mumekariri maisha hapo Dar mnajua Tzn ya miaka ya Mwendazake ndio ipo Hadi Leo hii au?

Saizi Kijijini Kuna zahanati/Kituo Cha Afya,shule nzuri,umeme,maji ya Bomba na Barabara za uhakika.Ona hiyo nyumba ya huyu mama ni Kijiji pure ila maji kedekede👇

View: https://www.instagram.com/reel/C37wdmiIFJP/?igsh=ZGFtcjFzb3A1OHNh

Mwigulu kamatia hapo hapo mpaka waseme Bado hawajasema👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C34ndtoqbMt/?igsh=MXhyMjJrejE3Z3VuMQ==

Usirudie tena kufananisha awamu ya Samia na walioshindwa huku Wakiwa na visingizio vya Sgr.Mama aliposhika Dola mwaka wa kwanza tuu alipoandisha Bajeti ya Tarura kutoka bil.270 Hadi Bil.800 kuifungua Nchi na matokeo yake ndio hayo Mwigulu anawaambia namba E zimeenea Hadi Vijijini 🔥🔥

View: https://www.instagram.com/p/Cy72BvRtElS/?igsh=MWFpY2tjeHR2ajQ5Mg==
 
Wewe ndio ndezi mkubwa.Ndio namba E zipo Hadi Vijijini Kwa sababu Mama amefingua Barabara za Vijijini Kupitia tozo mambo ni 🔥🔥

Harafu nyie mafala ambao mumekariri maisha hapo Dar mnajua Tzn ya miaka ya Mwendazake ndio ipo Hadi Leo hii au?

Saizi Kijijini Kuna zahanati/Kituo Cha Afya,shule nzuri,umeme,maji ya Bomba na Barabara za uhakika.Ona hiyo nyumba ya huyu mama ni Kijiji pure ila maji kedekede👇

View: https://www.instagram.com/reel/C37wdmiIFJP/?igsh=ZGFtcjFzb3A1OHNh

Mwigulu kamatia hapo hapo wachane live hao.

Heheh, yaani hospitali ya Rufaa y’a mwananyamala kuna pediatricians wawili, huko kijijini kuna nini ?
Mimi pia Nina kijijini kwetu na nmetoka huko december, kuna jengo la zahanati, then what ?
Wewe huna exposure, hupaswi kuwa unacoment humu . Yaani unatoka mbeya yet unapata ujasiri wa kusifia serikali ya ccm ? Huoni haya. Mbeya mjini tu hali ni mbaya vile huko vijijini kupoje?
 
Hao pedestrian hawatakiwi kuwepo level ya Ya Zahanati Wala Kituo Cha Afya Bali hospital za Wilaya ambako wapo.

Harafu saizi Kuna Tele medicine picha zitatumwa popote walipo na majibu yatapatikanazusikariri ujinga.

Ungekuwa unafikiria vizuri ilitakiwa umshangae yule ambae alisimamisha Ajira Kwa visingizio vya kujenga Sgr sio Samia.By the way Mama alipoingia alimwaga Ajira wakapatikana hata hao 2 unaowataja.

On top of that Serikali imesema Halmashauri ziajiri watu Kwa mikataba Ili kuhakikisha Watumishi wa kutosha.Mwisho mwezi machi huu Ajira zaidi ya 25,000 za watu wa Afya na Elimu Zinaenda kumwagwa.Chezea Samia wewe.

View: https://www.instagram.com/p/C35K1pfqhd8/?igsh=cmkxd3NxNmNneGpy

Mwisho haijaisha Hadi iishe Ajira zinamwagwa kama kawaida.Usikariri Maisha ya mlioshindwa ,Nawaambia Kila siku Samia ana pesa na anajua kutafuta pesa.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C34myqKNfLY/?igsh=cm95eDlvdHkycjN1

Hakuna kipindi Nina Raha kama saizi Kila sehemu nawapiga sindano tuu 😁😁😁
 
Dar kama Dar yaani
-99715490.jpg
-1304752771.jpg
-457581963.jpg
-709966559.jpg
1172637299.jpg
20240225_212432.jpg
 
Kenya started this trend and they copied but in a primitive way…🤣🤣🤣… We always lead they follow… remember when they demanded SGR after we did ours but inferiority complex made them force an electrified line… ( not bad play)… but it’s a game of let’s wait and see how this Dar- Moro line performs …. Regardless Bongo will always play second fiddle to Kenya…
SGR.png

Back
Top Bottom