Viongozi wa Kenya hawana tofauti na wale ma chief waliokuwa wakiuza watu wao utumwani.Nasikia hadi Raila Odinga ameshamtafutia kazi, ha ha ha😎
Viongozi wa Kenya hawana tofauti na wale ma chief waliokuwa wakiuza watu wao utumwani.Nasikia hadi Raila Odinga ameshamtafutia kazi, ha ha ha😎
Vipi tulete tena ule mjadala wa purchasing power? 🤣🤣🤣 just joking 😄Wakundustan ni washamba hawajui negotiations ni kama walughalugha kutoka bush wanavyopigwa za uso wakijichanganya mjini 😂😂
Wakiona hii kesho wanaingia barabarani sababu Tanzania ndio marking scheme yao 😁
Dar new oil facility
Cost $270 million
Capacity 420,000 metric tones
Kipevu oil facility
Cost $385 million
Capacity 100,000 metric tones
Wameona tender ya fuel farm in Dar na mazungumzo yanayoendelea between Dar and Kampala ndio wanaanka usingizini na kutafuta shuka wakati kumeshakucha tayari.
Vipi tulete tena ule mjadala wa purchasing power? 🤣🤣🤣 just joking 😄
Mtu kala sawa na 'urefu wa kamba yake'. Acheni wivu, ruksa ilishatolewa
Awamu hii, hata wew ukitaka kupiga, piga. Lkn usiwasahau kuwagawia waliokuzunguka ofisin ili wasione wivu wew kula peke yako
Chawa wa mama tena??😂😂😂😂
Kwani na wenyewe ni wafanyakazi wa serekali na Wana budget Yao kabisa au?
Tayari huko kumeamza kuvuja
View: https://twitter.com/LarryMadowo/status/1762542065559199948?t=Fo9vn9Spo1pnEqiNdQCcTA&s=19

Dar will offer better terms with competitive pricesLabda wanataka wawabadilishe mawazo waendelee kutumia Mombasa