Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This close sizewise but inside bado … mine is inspired by the best American homes .. I just picked different varieties of styles into one…Just wait you will see … then you can critic me..
My brother hiyo ni best home in East Africa $12 million ? How much is your house..? 😂😂😂 wakenya wenzako walifika humo wakakiri kwamba they haven't been in a house like that one before 👇
View: https://youtu.be/yrddPdbE13w?si=d1rhsdAxEoFAv41T.
 
So it's going to be the new best house in East Africa? Okay let's wait and see 😂😂
Best house in EA hana hata boq? Nyumba zinazojengwa kienyeji ndio watu hawajui hata mwisho watatumiq kiasi gani. Ila mansion nyumba serious kabla ya kujenga unajua kila kitu. Na anajenga mkandarasi mshakubaliana bei sio fundi maiko unamuita kila ukipata vilaki kadhaa.
 
When my ushago mansion is finished, I will post it..am sure it’s something our neighbors down south have never seen … 7 bedrooms, 6 baths, pool and Jacuzzi…indoor gym… I am even including a movie theater..which is something I see missing in Kenya’s big mansions ( I don’t know why)but common in the US … it’s loading … God is Great!
Tanzania project kama hii inafanywa hata na fundi wa kawaida hana office kubwa na nyumba haidondoki, huko kwenu ingekua tayari na cracks kama 200


View: https://www.instagram.com/reel/C32-9MGt7fS/?igsh=MW5yNGp0d3p0NWVxag==
 
Back
Top Bottom