Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mamboleo overpass in Kisumu.

Vitu kama hizi Tanzanians can only see in Dar is Slum.

1702032730642.jpg
 
As long as tulikanyaga Tz we are okay with anything that comes afterwards.
I'm sure you didn't see the type of squad Nigeria fielded, that alone tell you how less they value the tournament. And then for your information, penalty knock out has never been a good way of identify a strong team. When it come to penalties even Kariobangi South can eliminate Real Madrid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo bado wanabandika ukutani?😂😂😂😂
Ooh thithi ndio vinara kwenye ICT nyenyenye………😹😹

Yaani vitu tumesahau Bongo kumbe huko ni breaking news? Eti hadi LUKU nayo ni maajabu pande za Kiberaland? 😅😅

Leo nilikuwa nafanya applications za licenses kadhaa kwa biz yangu, yaani chap Brela kufanya annual returns dk 0 tayari, kuja kwenye leseni ya biashara chap kwenye TNBP, nikacheck TASAC pale chap tu Portal yao ikafanya mambo, pale TRA ndio balaa, ma-returns yote kwa portal huku unakula wine, mchawi internet tu………hizi kazi nimezifanya ndani ya masaa 4 wakati enzi zile ingenichukua miezi miwili hadi 3 kumaliza, alafu kumbe wenzetu hadi matokeo ni ya kubandika? Haki nimeumia sana, inauma The best 007, inauma sana kaka, inabidi tuanze kampeni ya empowerment ya hawa mandezi wa EAC, tunawaacha mbali sana kwenye kila kitu😅😅
 
You are bragging of things Kenya did in 2005. Tax returns are done online in Kenya, all government services are found online. Just because mlifungua macho juzi haimanishi wengine bado wamefunga yao.
 
My brazee si tunaona hapo hata website ya matokeo ni breaking news? Na anasisitiza itakuwa free of charge, kumbe to date mlikuwa mnabandika kwa ukuta na mnalipia kuona, ama ni nini?😂😂

Vipi mshaweka stima ya kununua online na kulipia au bado mnapokea bills za makaratasi toka kwa KPLC? 😹😹
 
Ooh thithi ndio vinara kwenye ICT nyenyenye………😹😹

Yaani vitu tumesahau Bongo kumbe huko ni breaking news? Eti hadi LUKU nayo ni maajabu pande za Kiberaland? 😅😅

Leo nilikuwa nafanya applications za licenses kadhaa kwa biz yangu, yaani chap Brela kufanya annual returns dk 0 tayari, kuja kwenye leseni ya biashara chap kwenye TNBP, nikacheck TASAC pale chap tu Portal yao ikafanya mambo, pale TRA ndio balaa, ma-returns yote kwa portal huku unakula wine, mchawi internet tu………hizi kazi nimezifanya ndani ya masaa 4 wakati enzi zile ingenichukua miezi miwili hadi 3 kumaliza, alafu kumbe wenzetu hadi matokeo ni ya kubandika? Haki nimeumia sana, inauma The best 007, inauma sana kaka, inabidi tuanze kampeni ya empowerment ya hawa mandezi wa EAC, tunawaacha mbali sana kwenye kila kitu😅😅

Soma tarehe ya hii post. 😂😂😂

View: https://x.com/kemolisagala/status/1717146870269579422?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
 
My brazee si tunaona hapo hata website ya matokeo ni breaking news? Na anasisitiza itakuwa free of charge, kumbe to date mlikuwa mnabandika kwa ukuta na mnalipia kuona, ama ni nini?😂😂

Vipi mshaweka stima ya kununua online na kulipia au bado mnapokea bills za makaratasi toka kwa KPLC? 😹😹
You are following Kenyan shadow.
Screenshot_20231208-220514_1.jpg
 
Back
Top Bottom