Tunna05
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 243
- 526
Oyaaa ๐๐๐๐ humkeri mtu boya wwSukuma gang ongezeni block..
Naendelea kuwakera na Kazi nzuri ya SSH๐
Oyaaa ๐๐๐๐ humkeri mtu boya wwSukuma gang ongezeni block..
Naendelea kuwakera na Kazi nzuri ya SSH๐
Hapo patamu hapo ndipo wote mtakubali kuwa urussi siyo mchezo ngoja usa atume hizo siraha kisha utaona nguvu ambayo urusi itatumia na aina ya mabomu yenye nguvu kubwa ya ton20Huku SSH kule Biden
Acha kuzingua,gati imekamilika kwenye mwezi wa 12 mwaka Jana sio mwaka....Yah gati imekamilika karbia mwaka sasa , bila iyo gati mpya iyo meli ikitiaje nanga hapo
Shobo za kijinga sitaki na kama huna cha kuchangia kausha..Mwanangu The Sunk Cost Fallacy, post zako ziko nje ya mada ya huu Uzi, jirekebishe
Mwamba wa chato akiendesha mwendo kasi ๐. Magufuli akiendesha boti ๐. Magufuli akiendesha gari ya kawaida kwa speed kubwa ๐ . Magufuli akiendesha pikpiki ๐ . Mwamba alikua mwerevu hasa
Mbona huwaambii hao mafala wenzenu?Battle ni dar vs Nairobi turudi kwenye jambo lilitotuweka hapa...niliwahi kusema hizi habar ila jamaa amekaza sana haelewi,mahaba yamemzidi
Aisee hii ni hatari kama mnavyomjua Kagame lazma a-retaliate na hapa ndipo Wajinga wa Kaskazini watajijua hawajui na kujitamba agressiveness yao! On the other hand more money to our TCAA maana Rwanda itaongeza matumizi ya air space yetu!
Unajenga nyumba inafika hadi hatua ya kuweka mbao .. yan bado kuwezeka bati tu...unafariki afu ndugu wanaanza kulalamika mbona hakumaliza kuweka bati..Hili taahira hovyo kweli, eti anasema JPM kaanzisha bila kumaliza ๐๐๐ anataka amalize akiwa kaburini? ๐ ๐ ๐
Kagame wa Rwanda nimewahi kumuona akiwaendesha Marais wenzake mmojawapo ni Mama alivyokwenda kumtembelea.Rais Uhuru Kenyatta kajiendesha mwenyewe leo kwenye airshow. Hivi kuna rais mgani mwingine wa Afrika ambaye ana mazoea ya kujiendesha? Napenda jinsi Uhuru yupo free sana.
Mzee ana mbwembwe nyingi sana huyuYeah, I remember seeing Kagame driving his range rover. Museveni bado ni old school sana. Yeye akitaka kupiga simu anasimamisha magari anatoka nje na kiti ili apige simu.
View attachment 2242315
Mimi kusema kweli huyo jamaa nilisha mpiga block kitambo sana... .
Wala hanipi shida. Message zake naziona mkizi tag tu.
Siku wakiwaonyesha wakivunja matofali watabadili gear angani. Ila kama komandoo na mkufunzi wa GSU alimkimbia jambazi mwenye panga unategemea wana mafunzo gani Kaka?Unataka kusema kdf haijawahi kuvunja matofali kwenye maonesho?
Sasa hapa amedanganya nini hizi records si zipo tangu mwaka juzi? Jamani hata kama kuna agenda ya kusifia tusifie kwa usawa. Kwani hawezekani kusifia pasipo kusema sijui mwendazake/Magufuli this and that??We jamaa unaakili ndogo sana
Watu kama ww hatuwataki kwenye hii forum
Jifunze kua na heshima, huu Uzi wewe ni mgeni, usirukie mashaza matako wazi.Shobo za kijinga sitaki na kama huna cha kuchangia kausha..
Nimepost picha za baba yako humu au?
Hata mama juzi kamuendesha Peter!Kagame wa Rwanda nimewahi kumuona akiwaendesha Marais wenzake mmojawapo ni Mama alivyokwenda kumtembelea.