Hawana proper bus stations pia, viwanja vyao vya mpira havina LED billboards, hakuna VAR 🤣🤣🤣🤣Hamna electrified SGR, hamna cable stayed bridge, hamna BRT, hamna any CAF and FIFA approved facility, hamna EMU, hamna chakula, hamna big truck assembly plant like us, hamna akili, hamna ustaarabu, mnawezaje kuwa sawa na Tanzania?