REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 1,460
- 5,123
I watched it but its never an inch closer to Dar es salaam SGR station.
that ubungo interchange of yours is laughable......what about it?Kwa hiyo hapa tatizo ni reli kuwekewa umeme au tatizo ni kujenga SGR au tatizo ni Interchange?. Hii inadhihirisha jinsi maendeleo ya TZ yanavyowauma. Hivi kama nyie ndio mngekuwa na SGR yenye umeme, na interchange kama ya Ubungo ungetapika huu tumbo kweli? ANGALIA USIJE UKAPATA VIDONDA VYA TUMBO KISA WIVU WA MAENDELEO. Tz is moving on.
Kama unaona huo ndio ukweli basi wahi referral hospital kacheki cerebral cortex/cerebellum ya ubongo wako. Yawezekana kuna serious problem.Mwenzako halaumu bali kasema ukweli, wewe ndio umekuja kulalama hapa
Ama uweke wazi tu ya kwamba hupendi ukweli
Typo.....cherry peaking?
alafu unasemanga uko na degree
Hawazipendi kwelikweli hizi pichawataweza kweli?
View attachment 2092033
View attachment 2092034
View attachment 2092035
hiv vitu Africa nilikuwa naona mapicha picha yake South Africa tu, imagine now tunashuhudia vipo Tanzania
Mention any county I will show you slums.wewe umefika kenya?
Hata tukidhani ni gari lkn ndio tunayo sasaWantanzia wengi wanadhani meaning ya SGR ni trains.
Kwakuwa imeshakamilika au co? Alafu haya mambo ya SGR tushakubaliana yameisha cz no comparison at all, ukiona tunaweka picha za sgr humu co kwamba tunalinganisha bali tunapeana updates cc watz, no comparison btn Tz SGR and yours.Yes, our SGR is $6M/KM compared to yours which is $9M/KM. Remember your line is not fully fenced.
our SGR is of good quality. We can buy electric locomotives if we wish - and we could do it before you considering how laggard your process is.
Hilo ni eneo la viwanda vidogo vidogo, liko nje ya CBD.Hi ni CBD emejaa mabati flats mixed with apartments 😏😏😏
Miradi aliyoacha marehemu ikiwa Poa anasifiwa mama, kukionekana kuna tatizo anarushiwa marehemu,Huwezi mlaumu marehemu kwa hili kwasababu huna uhakika angefanyaje kama angekuwa hai. Ndiyo maana lawama zote zinaenda kwa mama.
Lini WFP walitoa msaada kwa raia wa kenya, nakusubiria zuzuWFP wameiweka Kenya ktk orodha ya mataifa yanaopokea misaada ya vyakula.Tena ikitoka N.korea mnafuata ninyi.
Sijui umenielewa?
Hao nimetoa mifano km kukazia kiujumla kwamba mnapokea misaada ya chakula.
Duh!!we tena unazo za kutosha kweli, au ndio umekurpuka ilmradi cha kwenu basi umeamua kwenda nacho hvo hvoI watched it but its never an inch closer to Dar es salaam SGR station.
Kwhyo mwenzako anapotosha sioKama unaona huo ndio ukweli basi wahi referral hospital kacheki cerebral cortex/cerebellum ya ubongo wako. Yawezekana kuna serious problem.
Kivipi? kwani sheria za ardhi siyo za muungano?Ukweli mchungu wazenji mnajidanganya kuwa mnamiliki zanzibar ila ukweli upo tofauti na unazidi kuwa mchungu hadi sasa hivi ninavyo kuambia asilimia 30% ya ardhi imesha chukuliwa na mabeberu tena sasa hivi kuna maeneo mengi wananchi awaruhusiwi kufika baharini ni mali halali ya mabeberu
But still GDP ni $60b per capita $1,000Tz is doing very well in that aspect usijisahau,we've done with dar port,JNIA T3 ,SGR will be operating soon,nyerere dam as well,hizi zote zitapump billions of money into our economy....Gold export inaingiza $2.8B as per 2021,our target is 5M tourist by 2025 tuzamishe $5B za utalii ,we r doing well
No NMTs. Njia za watembea miguu, baiskeli, disabled, footbridges etc..Bado haijawekwa taa ,service lanes are little bit far from the main road ...bado iko u/c
Wacha uongo jamaa. Tanzania ilirebase uchumi 2013 na 2019 na bado Kenya ni double uchumi wenu.Tukiamua tuna rebase Kama wafanyavyo Kenya.Tz GDP ikiwa rebase itakua habari nyingine.Hatuhangaiki Sana kupandishi GDP ili kutanua wigo wa mikopo Kama afanyavyo Kenya ,Nigeria
Typo.....
Cherry picking..
Vp umefurahi mwalimu wa English kindergarten