komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,549
- 5,646
Mwenzako halaumu bali kasema ukweli, wewe ndio umekuja kulalama hapaMbona unajotoaga sana akili kamanda? Nadhani angekuwepo halafu hivyo vitu vishindwe kutekelezeka hapo ungemlaumu maana huo ni mradi ulikuwa unaendelea siyo kwamba ilikuwa imeshakamilika asilimia mia. Na wakati akiwa hai mbona mambo yalikuwa yanakwenda vizuri tu kwenye hiyo miradi? Nadhani swali la msingi kwa sasa lingekuwa kwamba "Serikali iliyopo madarakani inachukua hatua gani kurekebisha hayo mapungufu yaliyojitokeza?". Afterall, serikali ni ileile japo imejipa jina la awamu ya sita, manifesto ya chama ni ile ile sasa sijui tunamlaumu marehemu ili afufuke aje kumalizia miradi ama vp? Let us be responsible where necessary. Kulaumu tu hakujawahi kuleta mabadiliko bali kuchukua hatua ya kurekebisha au kuondoa kitu kinachokufanya ulalamike!
Ama uweke wazi tu ya kwamba hupendi ukweli