Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cool, a section of UpperHill "city centre", Kimara ya Nairobi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ weka Kimara nione..,
View attachment 2037033
View attachment 2037035
View attachment 2037036

Dogo sasa unataka tuanze kulinganisha mandhari kutokana na distance from CBD?.., utahama uzi dogo., wewe tafuta map kwa google, kisha utafute youtube clips uone sehemu zote beyond 10km or 20kms from CBD.,., utaingia hadi Metro region ujionee mwenyewe ukahadithie wenzako kule vijiweni, I don't have to prove anything to you kaka.,
Au huyu sio wewe huyu ulitaka kimara nikakuuliza unaujua umbali wa kutoka Kimara mpaka City center.?
 
Hii imeweza! 😍 πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ’ͺ
1638971720161.png
 
Au huyu sio wewe huyu ulitaka kimara nikakuuliza unaujua umbali wa kutoka Kimara mpaka City center.?
wasn't talking about distance, something meaningful, yenye muonekano wa "city centre" kama vile baba levo alikiri, built outside the traditional CBD, ndio point yangu, wewe ulitakaje? kwa vile najua jibu haupati in Dar.., na tusisumbuane, kua mpole hadi miaka 25 iishe kama utakua hai, na Kenya isimame.., bado hatujafika elastic stage kama nchi za ng'ambo.., bado tunajenga.,
 
Baba levo alienda kudhibitisha..ata yeye mwenyewe kwenye clip alisema alienda kutafta umbeya..akapigwa na butwa...napenda venye huyo mwnezake alikua akishabikia Airport yao..Baba levo kamjibu.." Umekufa wewe"......sasa kazi kwisha..ashaleta ushuhuda..kwa sai ni kufurahishana tu ..tunga ngoja miaka 25..alafu tuone kama kuna mabadiliko...lakini sioni..kama bado wako na ile serikali yenye Tony254 husema ''Tuta'' "Tuta"...
"Umekufa wewe!" πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
wasn't talking about distance, something meaningful, yenye muonekano wa "city centre" kama vile baba levo alikiri, built outside the traditional CBD, ndio point yangu, wewe ulitakaje? kwa vile najua jibu haupati in Dar.., na tusisumbuane, kua mpole hadi miaka 25 iishe kama utakua hai, na Kenya isimame.., bado hatujafika elastic stage kama nchi za ng'ambo.., bado tunajenga.,
Kumbe wew ni mtu mzima halafu uko na uelewa mdogo sana, we si umeomba uletewe Kimara kutokana maneno ya B level alivyosema kwamba wote tupo na City center lakini kwamfano kwa bongo ukienda Kimara panafanana na posta yetu (hapa alimaanisha umbali) .. na wewe ukampost vipicha vyako vya uperhil ukiwa una claim kwamba ni Kimara ya NAIROBI and unaomba upate picha za kimara hapa Dar nikakuuliza, hivi unaujua umbali wa kutoka CBD hadi kimara.? .. Now unakuja sujui unaongea upumbavu gani.? Juzi nilikuomba tujadili maneno ya Baba level kisomi ili tuone kama ni yanaukweli ndani yake au aliropoka tu, ukanikimbia.. usichokua ni kwamba Posta na Kariakoo pekee zina eneo lenye ukubwa sawa na city center zenu zote tatu combined
 
Hawataki baba levo, yeye hana akili kushinda mzungu.., wacha mzungu awaeleze nani ni babe EAC na central., infact Sub saharan Africa nje ya SA.,
Pengine wataamini mzungu., huyu clip yake ya kwanza alipofika Kenya aliisifia Tanzania ambapo alikua ametoka, lakini baada ya kuishi Kenya ali tii na kukubali, kisha baba Levo akafuata
Sasa huyo baba levo c punguani tu, huyu hapa mkenya mwenzenu wa humu humu
Screenshot_20211208-111241.jpg
Screenshot_20211208-111400.jpg
Screenshot_20211208-111511.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba levo alienda kudhibitisha..ata yeye mwenyewe kwenye clip alisema alienda kutafta umbeya..akapigwa na butwa...napenda venye huyo mwnezake alikua akishabikia Airport yao..Baba levo kamjibu.." Umekufa wewe"......sasa kazi kwisha..ashaleta ushuhuda..kwa sai ni kufurahishana tu ..tunga ngoja miaka 25..alafu tuone kama kuna mabadiliko...lakini sioni..kama bado wako na ile serikali yenye Tony254 husema ''Tuta'' "Tuta"...

You can’t compare the modern and EA’s Largest Airport of Dar to that filthy fortress in Nairobi.
 
Haya we bwana Don YF njoo hapa utuambie Kati ya tony na baba level ni nani mwenye akili timamu.?
so what? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , haibadilishi ukweli., I am a logic and critical thinker, not an opinionated clueless guy like many of u here.., I can argue with fact after fact after fact hadi mnyooke., kuna wakenya hawaijui Kenya proper na pia hawaitambui Tz ila kupitia mitandao tu, they have a perspective influenced by their personal experience, thus their views and opinions of which they are entitled to, can't change the hard facts of the differences between Kenya and Tz., meza wembe dogo.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Wacha mtu asio mkenya wala mtanzania atoe maoni yake.., very objective, with superb logic and critical thinking, jama analinganisha ama kutofautisha kile amesoma mitandani na kwa news media na hali kamili kwa ground, first hand experience, kisha anatoa conclusion., hili limewauma, itabidi mzoee, Tz is below Kenya even if we have issues..,
 
Tanzania keeps on maintaining it's status as the first kisser of any brand new luxury car introduced to the region

My mother is the best cook in the whole world idiotic reasoning.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Land Rover Kenya was the first dealer to launch this machine in Eastern Africa, and all the units that were availed ziliuzwa zikaisha, same year hii gari Land Rover wali launch., tukisema mko below Kenya mnanuna ona sasa?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
View attachment 2037370

Kwa sasa hizi gari bongo zimejaa kama takataka wakati zipo nchi mpaka saivi inasubiri mtumba wa Tanzania
Angalia bado ignorance, headquarters ya Toyota East Africa iko Nairobi, machines wali launch pia na wao na ziko barabaraniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., lishamba kweli.., jifunze kufanya utafiti kabla ya kukurupuka.,
 
Back
Top Bottom