Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Porii
FB_IMG_16389865667100642.jpg
 
Hapo walimchukia kinoma...wanatamani wangekuwa wanamfahamu.

Hapo alipoandika hawana kazi, masomo na ni masikini ni ukweli mtupu...wakunya wengi humu niliweka vimitego nikanasa social networks zao yaani kiufupi wako kiganjani mwangu. [emoji23][emoji23][emoji23]

Ukiona wanajisifia humu halafu umuangalie kwenye maisha yake halisi unabaki unawaonea huruma tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20211208-205626.jpg
Screenshot_20211208-205446.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona ukaweka Old Taxi park Kampala? umefinywa, unatafuta pa kutokea, kama vile niweke hii hapa ya Dar.., sihitaji kuiponda Dar ndio Nai iyonekane, Nai iko sawa ata ukipanga sehemu zote za Dar hapa, utaishiwa pumzi tu, ukimbilie Kibera kujikomboa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 2037145

Nairobi city centre
View attachment 2037147
View attachment 2037148
We muongo sana Tanzania ni mda mrefu sasa hiace a.k.a vipanya haviruhusiwi kufika city center
 
Hapa choko reborn aliumia sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2037544

Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu bro Tonny ni mtu mstaarabu na mkweli, yeye hawez lazimisha uongo kabisa,na hata akisema kitu ambacho hakipo sawa na tukamuumbua huwa anaelewa na kukubali pia.. huu utabiri wake kuhusu BRT ulikua ni utabiri wa kweli ona now tunakaribia kumaliza phase 2 na 3&4 phases zitaanza soon mana juzi mama alisema tayari pesa tunayo, nimeona hata moja kati ya vituo vya BRT phase Three ujenzi wake umeshaanza pale kwenye kituo cha treni za umeme posta
 
Back
Top Bottom