Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
wasn't talking about distance, something meaningful, yenye muonekano wa "city centre" kama vile baba levo alikiri, built outside the traditional CBD, ndio point yangu, wewe ulitakaje? kwa vile najua jibu haupati in Dar.., na tusisumbuane, kua mpole hadi miaka 25 iishe kama utakua hai, na Kenya isimame.., bado hatujafika elastic stage kama nchi za ng'ambo.., bado tunajenga.,Au huyu sio wewe huyu ulitaka kimara nikakuuliza unaujua umbali wa kutoka Kimara mpaka City center.?
"Umekufa wewe!" 😂 😂 😂 😂 😂 😂Baba levo alienda kudhibitisha..ata yeye mwenyewe kwenye clip alisema alienda kutafta umbeya..akapigwa na butwa...napenda venye huyo mwnezake alikua akishabikia Airport yao..Baba levo kamjibu.." Umekufa wewe"......sasa kazi kwisha..ashaleta ushuhuda..kwa sai ni kufurahishana tu ..tunga ngoja miaka 25..alafu tuone kama kuna mabadiliko...lakini sioni..kama bado wako na ile serikali yenye Tony254 husema ''Tuta'' "Tuta"...
Kumbe wew ni mtu mzima halafu uko na uelewa mdogo sana, we si umeomba uletewe Kimara kutokana maneno ya B level alivyosema kwamba wote tupo na City center lakini kwamfano kwa bongo ukienda Kimara panafanana na posta yetu (hapa alimaanisha umbali) .. na wewe ukampost vipicha vyako vya uperhil ukiwa una claim kwamba ni Kimara ya NAIROBI and unaomba upate picha za kimara hapa Dar nikakuuliza, hivi unaujua umbali wa kutoka CBD hadi kimara.? .. Now unakuja sujui unaongea upumbavu gani.? Juzi nilikuomba tujadili maneno ya Baba level kisomi ili tuone kama ni yanaukweli ndani yake au aliropoka tu, ukanikimbia.. usichokua ni kwamba Posta na Kariakoo pekee zina eneo lenye ukubwa sawa na city center zenu zote tatu combinedwasn't talking about distance, something meaningful, yenye muonekano wa "city centre" kama vile baba levo alikiri, built outside the traditional CBD, ndio point yangu, wewe ulitakaje? kwa vile najua jibu haupati in Dar.., na tusisumbuane, kua mpole hadi miaka 25 iishe kama utakua hai, na Kenya isimame.., bado hatujafika elastic stage kama nchi za ng'ambo.., bado tunajenga.,
Kwn hii ni filter ya ukweli au ya uongo, hii hapaSasa si itabidi umejilaumu mwenyewe hujawaii tembea Nairobi uone kama ni filter ya ukweli ama uongo





Sasa huyo baba levo c punguani tu, huyu hapa mkenya mwenzenu wa humu humuHawataki baba levo, yeye hana akili kushinda mzungu.., wacha mzungu awaeleze nani ni babe EAC na central., infact Sub saharan Africa nje ya SA.,
Pengine wataamini mzungu., huyu clip yake ya kwanza alipofika Kenya aliisifia Tanzania ambapo alikua ametoka, lakini baada ya kuishi Kenya ali tii na kukubali, kisha baba Levo akafuata![]()
![]()








Baba levo alienda kudhibitisha..ata yeye mwenyewe kwenye clip alisema alienda kutafta umbeya..akapigwa na butwa...napenda venye huyo mwnezake alikua akishabikia Airport yao..Baba levo kamjibu.." Umekufa wewe"......sasa kazi kwisha..ashaleta ushuhuda..kwa sai ni kufurahishana tu ..tunga ngoja miaka 25..alafu tuone kama kuna mabadiliko...lakini sioni..kama bado wako na ile serikali yenye Tony254 husema ''Tuta'' "Tuta"...
Haya we bwana Don YF njoo hapa utuambie Kati ya tony na baba level ni nani mwenye akili timamu.?Sasa huyo baba levo c punguani tu, huyu hapa mkenya mwenzenu wa humu humuView attachment 2037322View attachment 2037323View attachment 2037324
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe endelea kuweka picha za miaka kumi iliyopita fact is u have never stepped foot in nairobiKwn hii ni filter ya ukweli au ya uongo, hii hapaView attachment 2037316View attachment 2037317View attachment 2037318View attachment 2037319View attachment 2037320View attachment 2037321
Sent using Jamii Forums mobile app

so what? 😂 😂 😂 😂 , haibadilishi ukweli., I am a logic and critical thinker, not an opinionated clueless guy like many of u here.., I can argue with fact after fact after fact hadi mnyooke., kuna wakenya hawaijui Kenya proper na pia hawaitambui Tz ila kupitia mitandao tu, they have a perspective influenced by their personal experience, thus their views and opinions of which they are entitled to, can't change the hard facts of the differences between Kenya and Tz., meza wembe dogo.., 😂 😂 😂 😂Haya we bwana Don YF njoo hapa utuambie Kati ya tony na baba level ni nani mwenye akili timamu.?
Ugly, unplanned & congested.Dar in this angle thoughView attachment 2037336
Tanzania keeps on maintaining it's status as the first kisser of any brand new luxury car introduced to the region
Tanzania keeps on maintaining it's status as the first kisser of any brand new luxury car introduced to the region
Angalia bado ignorance, headquarters ya Toyota East Africa iko Nairobi, machines wali launch pia na wao na ziko barabarani😂😂😂😂., lishamba kweli.., jifunze kufanya utafiti kabla ya kukurupuka.,View attachment 2037370
Kwa sasa hizi gari bongo zimejaa kama takataka wakati zipo nchi mpaka saivi inasubiri mtumba wa Tanzania
Yaani ata South Sudan hizi machine zinalamba lami na mtu anapiga kifua hapa., SSD plates tayari zimetoka., wanatamba nazo hadi Nairobi,. ,una kichaa nini😂😂😂😂😂.,View attachment 2037370
Kwa sasa hizi gari bongo zimejaa kama takataka wakati zipo nchi mpaka saivi inasubiri mtumba wa Tanzania