Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So that's your source?
Muulize Mama Ngina nani aliahidi hivyo, na hiyo picha aliiweka nani
Screenshot_20211205-001949.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
na ukimuuliza pilot wa hio ndege atakuambia sisi hatukuona sura yake..lkn tulisikia perfume yake.. na mke wake aliesafir nae hatukuona sura yake maana alijifunika na kilema kuanzia utosini kichwan hadi shingoni
Hilo jamaa taahira sana ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ eti kiongozi wa nchi asafiri na private company tena akiwa mahututi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Company yenyewe ka NGO ka misaada kanaitwa Amref ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Yaani wa kunya mmemchukulia local sana Rais, katika ulinzi wa kiongozi mkubwa kama Rais hakuna jambo nyeti kama usafiri, hasa usafiri wa anga, hata akiwa maiti Rais wa nchi hawezi kusafirishwa na huo uchafu unaoitwa Amref

Ni uhuru kunyata tu ndio mwenye hizo guts
 
Huyu ilikuaje nae Amref hawakuja kumchukua? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Huyu probably alipitishwa chini ya bahari na ndege ya intellectual ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Meanwhile kaliadudu bloggers walikosa bundle ya kuruka live ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Screenshot_20211205-052331.png
 
They are building the likes of Nyayo Estate that we built in the 90s. Hawa watu huwa wanasema eti tunawadharau. The truth is that we don't, ni ukweli tu ndio hawapendi kusikia. It's now that they are doing projects that we already did more than 20 years ago and the funny thing is that they are in celebration mode! Very funny to say the least
mtu ambaye hajui kesho atakula nini hawezi kuniambia kitu, pambaneni na njaa kwanza
 
Back
Top Bottom