Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wadau huu mjadala umekolea sana, upo very ironically, umenirudisha nyumba kabisaaaa. Nitasamarize kidigo

Kulikuwepo na great roman empire ikafall, akaja napoleon wa ufaransa, akaja metternich wa austria akaanza kuanguka miaka 1840's, wakainuka wakina bismark as coachmen of eropean miaka 1870s wakaja wakina mussolini and hitler miaka miaka 1920s tukashuudia kuibuka kwa marekan na urusi under V.lenin mwanzoni mwa miaka 1918 na kushika kasi miaka ya 1940s but nowdays tunamuona mchanise akipita njia zilezile.........

Sura na mtililiko huo umenifanya niangalie kwa jicho la tatu na kufikiri nje ya boksi, kulikoibua swali fikirishi......" The rise of Tanzania as EA superpower"

Hiyo ni historical trend tu ya kwamba "nothing last forever", nitaweka material evidences siku nyingine Mungu akijaria

Jumapili njeema
 
Imeisha hiyo mkuu, Tz ndio superpower kwa ss hapa East and Central Africa na raia wote wanajua, tumeanza kukamata makoloni (Burundi)🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Waongo wa Asia, IMF wamewaumbua kutokana claims zao za kwamba eti uchumi wao ulikua kwa 12.5% 2021 while ukweli ni kwamba uchumi wa India ulikua kwa 9.5% 😂😂. . Alafu hawa wasenge wanajilinganishaga eti na China 😂😂 mataifa yaliyotawaliwa na muingereza yana propaganda sana 😂😂😂.. uongo uongo tu kama jirani zetu wa north

Kumbe ni wengi tumesanukia hili! Makoloni ya Waingereza 100% yanakua kama yalilishwa kitu fulani hivi cha kujipaisha ilihali hawana kitu
 
WB report 2021
1.Nigeria GDP $600b
2.SA gdp $450b
Nigeria is 9+times rich than Tz with gdp of $65b
Our northern neighbour gdp is $106b that is the gap of $41b which is same as Uganda gdp of $40b...Tz we should work hard to improve our economy, Nigeria economy outsmart all of us ,Nigeria might hit a trillion dollar gdp before 2030 a big reason to worry
 
Wewe nawe,
South Africa GDP ni $300b
Ila in terms of development ukilinganisha na hiyo nigeria ni kama mbingu na ardhi,

My Take.
Use your brain.
 
WB report 2021
1.Nigeria GDP $600b
2.SA gdp $450b
Nigeria is 9+times rich than Tz with gdp of $65b
Our northern neighbour gdp is $106b that is the gap of $41b which is same as Uganda gdp of $40b...Tz we should work hard to improve our economy, Nigeria economy outsmart all of us ,Nigeria might hit a trillion dollar gdp before 2030 a big reason to worry
Uganda walivuka 37 bil ...lini?
 
Kwahiyo sisi GDP yetu ndiyo huwa haipandi kabisa ni $65b kila mwaka, wewe unaamini huu ujinga mkuu? Mm sitaki kabisa kusikia huu upupu mkuu.
 
Back
Top Bottom