Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 10,168
- 9,536
Hapa ni base ya kuchilax and having fun ukichambua baseless arguments na vioja kwa wingi., Many are totally clueless.Watanzania ambao wamejaa Kenyan section ya jamii forums wanakuanga na very low IQ. Yani argument zao ni za kipuuzi tu. Jamaa anasema tu kitu bila evidence ilimradi kujaza uzi tuu. Yani sometime inabidi una log off usiambukizwe ujinga na watanzania hapa.