The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 37,865
- 82,493
Wanasema miradi yao mingine wanaipost skyscraper ila huu ambao ndio mradi wao wa gharama ndio wanapost humuPost something new please this thing is becoming monotonous in here
Wanasema miradi yao mingine wanaipost skyscraper ila huu ambao ndio mradi wao wa gharama ndio wanapost humuPost something new please this thing is becoming monotonous in here
Kumbe ni ndugu yangu weweHahah, utani tu mkuu, Kama sisi Wahehe tunavyotaniwa kula nyama ya umbwa na kujinyonga, take it easy
Nchi ya one projectGood Morning danganyikans. CCM bado inawadanganya?
Here are photos of an expressway. Wengi wenu danganyika wataiaga dunia bila kuona expressway ikijengwa inchi yenu View attachment 1975975
So cc tufanyaje, hiyo ni laana ya nchi yenu haituhusu.Lack of rain is a natural disaster
yaani ishaanza kuwa na muonekano mchafu wakati bado hsijaishaGood Morning danganyikans. CCM bado inawadanganya?
Here are photos of an expressway. Wengi wenu danganyika wataiaga dunia bila kuona expressway ikijengwa inchi yenu View attachment 1975975
Watu kama wewe wenye low IQ hawawezani na forums kama skyscrapercity, stick to your jamiiforumsKule skyscraper huwa na deal na mambo ya Tz tu, huwa sijishughulishi na habari zenu cz hakuna jipya mtapost, na kama kungekuwa na jipya mngeshapost humu, tofauti ni nn mpk msipost humu, mmeanza kutafuta sababu wapuuzi nyie, mshamaliza picha zote wkt cc ndiyo tunaanza.
Pumbavu wewe, kule huwa tuna debate kistaarabu, hii section ya Kenyan news mliiharibu nyie wakunya kwa majibu yenu ya kipuuzi na kupenda sifa msizokuwa nazo na ndiyo maana na cc tukaona twende vile mlivyo.Watu kama wewe wenye low IQ hawawezani na forums kama skyscrapercity, stick to your jamiiforums
What about irrigations projects, why can't you use your stupid GDP to use underground water and catch raining water during raining seasons?Lack of rain is a natural disaster
Hahah, utani tu mkuu, Kama sisi Wahehe tunavyotaniwa kula nyama ya umbwa na kujinyonga, take it easy
Msugu 007:🤝Kumbe ni ndugu yangu wewe
😃😃Banda la kuku
sio eti kwamba tunapokea msaada wa chakula kama vile South Sudan na Somalia. Ila twainunua sababu, hela tunazo. sawa navile UAE, Saudi Arabia etc. Lakini hata ivo, maziwa na unga wa ngano tz inategemea kenyaWhat about irrigations projects, why can't you use your stupid GDP to use underground water and catch raining water during raining seasons?
GDP ya makaratasi baba huwa hewa in reality!What about irrigations projects, why can't you use your stupid GDP to use underground water and catch raining water during raining seasons?
kipute cha leo ni East Africa vs Egypt
Afu wote tupo home grounds
View attachment 1976145
- Azam vs Pyramids (CAFCC)
- Tusker vs Zamalek (CAFCL)
- URA vs Masry (CAFCC)
Tutegemee maziwa nyie mna ng'ombe? Tz ni nchi ya pili Africa kuwa na ng'ombe wengi, au unaongelea maziwa ya unga ambayo JPM aliyapiga bansio eti kwamba tunapokea msaada wa chakula kama vile South Sudan na Somalia. Ila twainunua sababu, hela tunazo. sawa navile UAE, Saudi Arabia etc. Lakini hata ivo, maziwa na unga ngano tz inategemea kenya View attachment 1976186
Huo sasa ni wivu wa kichawi.yaani ishaanza kuwa na muonekano mchafu wakati bado hsijaisha
Ila production yenu wa hizo bidhaa ni kwa uchache mmno sio kama sisi. Infact 90% ya milk powder kwenye supermarkets in gulf countries inatoka kenya. Mfano ni hii hapa ninayo itumia 👇🏽Tutegemee maziwa nyie mna ng'ombe? Tz ni nchi ya pili Africa kuwa na ng'ombe wengi, au unaongelea maziwa ya unga ambayo JPM aliyapiga ban
Kwamba ngano na unga tunategemea Kenya, so Bakhressa cku hz ni mkenya? Ukiingia maduka ya Kenya yamejaza ngano na unga wa Bakhressa na bidhaa nyingine nyingi, so ni mkenya yule
Huyo mzee wa project mojaHuo sasa ni wivu wa kichawi.
Picha zaidiView attachment 1976204
Chache ndio na ndiyo maana Bakhressa na Mo wanajaza shelves zenu madukaniIla production yenu ya hizo bidhaa ni kwa uchache sio kama sisi. Infact 90% ya milk powder kwenye supermarkets za ughaibuni inatoka kenya
Wachawi wa jamii forums tunawajuaHuyo mzee wa project moja