Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
wanakamia kinomaWanajeshi WA mpakani wanakuja kwa speed ya juu Sanahongera sana!
wanakamia kinomaWanajeshi WA mpakani wanakuja kwa speed ya juu Sanahongera sana!
Hakuna kitu km team, hyo unaijua wewe wakenya wanajielewa sio km ile misukule ya 2007mwakani ipi na wakati mnaenda kuchinjana
#TeamBabavsTeamRuto![]()
Tembelea skycrapercity mzee ukaugueHehehehee wakati huu uzi unaanza mlidhani tunatania, tulikuwa hatusikii habari za kufanya miradi yenu kmy kmy now baada ya kuona sindano zinazidi mnaanza kuongelea mambo ya kmy kmy kwamba cc tumekuwa wageni na tabia za wakunya, jana tu mlevi wenu kapiga picha na Biden mmepost usiku wa saa tisa kwa kihelehele na kupenda sifa za kijinga, eti leo mnafanya miradi kmy kmy iko wapi sasa hyo miradi ya kmy kmy![]()


Mchakamchaka wa leo kiboko hadi waarabu wanatapika uwanjani dah.
Kitu kipya hakijakamilika ila kinakaa kama 10 years old!
ee bwana ee.. tanzania kulikoni..!? uwivu wenu twaijua mselaKitu kimpya hakijakamilika ila kinakaa kama 10 years old!
tushawaandaa hao,wanapata experience ya kutosha miaka mingi ijayo watakuwa hawashikiki..
pia hapo Gov inaokoa gharama
Eti anaambiwa ajitetee anasema ana mchumba, sasa mchumba afungwe naye auView attachment 1975668View attachment 1975669
Ki ukweli wako vizuriwanakamia kinoma
Very beautiful 😃Eti anaambiwa ajitetee anasema ana mchumba, sasa mchumba afungwe naye auView attachment 1975668View attachment 1975669
Post something new please this thing is becoming monotonous in here 🚮🚮
Dah! Hapo Kuna wanaume wameanza kupigia mahesabu hii kisu.Eti anaambiwa ajitetee anasema ana mchumba, sasa mchumba afungwe naye auView attachment 1975668View attachment 1975669
ubungo kilele yake ilikuaje humu ndani..!?Post something new please this thing is becoming monotonous in here 🚮🚮
start by keeping your dellusions to yourself.Keep that foolish for self...
Daah naumia sana kila nikiisoma hii reply yako, Watu wa Pwani tumekukosea nini bro!!?Tatizo la watu Wa Pwani ni legelege sana, uvivu na shule ndio Hawanaga muda nayo na wala sio muhimu kwao. Kazi kucheza vigodoro tu na kunywa ngisi na Supu ya pweza. Miaka nenda rudi.
Wakati nipo Chuo nilijitolea kufundisha Shule moja huku pwani aisee, kama kuna utamaduni wa kipuuzi basi ni Wa pwani. Though there are few exceptional ones huwa wanapambana sana darasani.
Daah naumia sana kila nikiisoma hii reply yako, Watu wa Pwani tumekukosea nini bro!!?

Hiyo ni multibillion project in kenya