Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Magufuli alitoa vitambulisho unalipa elfu 20 usumbuliwe mwaka mzima sasa wenye maduka ili kukwepa kodi wakafunga maduka na kuuza nje kisha wanachukua kitambulisho cha machinga,ndiyo maana wamachinga wengi wanamizigo ya vidhan za maana
Sasa huku vitambulisho bure na wiki mbili nyingi ushakipata
 
huu mji wa nairobi unachekeshaga sana yaani hata video achukue nani na kamera gani ila wapi mji umefubaa,unaukungu giza si giza ,nimecheki video 13 za nairobi ni kichekesho hadi wakenya wenyewe wanalalamika kuwa nairobi bila make up ni kituko ,licha ya hizo video zimefanyiwa makeup wewe tazama video zao ,nakumbuka hata kipindi wode maya katua dar baada ya kutokea nairobi,wakenya walipoona video za dar wakamwabia kuwa kamera yake imeinproof mwenyewe akawajibu kuwa kamera ndiyo ile ile
Chai ya moto bila sukari... 😂 😂 😂 Pole
 
Kenya haijaishindwa kulipa kama Tanzania. Kenya haijaisamehewa deni kama Tanzania.
Na tena wamekopeshwa juzi tena na India baada ya IMF kurusha ndoano kule kwa wahindi. Alafu utamsikia falamaga mmoja akisema "oh, tunatumia hela zetu za ndani kwa ndani, hatukopi" pumbu kama pumbu! Kudadadeki! Nchi kama Amerika inakopa, itakuwa njugu ya nchi ka Bongolaland? 😂 😂 😂 😂
 
Tanzania ina vyanzo vingi vya umeme kuliko nchi zote za EA na bado tunajenga JNHPP ili tuwe tunaziuzia umeme nchi maskini zilizotunguka ikiwamo Kenya na Rwanda.
Thanks for talking nonsense.

image_52717f69-6116-4c88-8d58-fa54c1b9cdaf20210323_064236.jpg
 
huu mji wa nairobi unachekeshaga sana yaani hata video achukue nani na kamera gani ila wapi mji umefubaa,unaukungu giza si giza ,nimecheki video 13 za nairobi ni kichekesho hadi wakenya wenyewe wanalalamika kuwa nairobi bila make up ni kituko ,licha ya hizo video zimefanyiwa makeup wewe tazama video zao ,nakumbuka hata kipindi wode maya katua dar baada ya kutokea nairobi,wakenya walipoona video za dar wakamwabia kuwa kamera yake imeinproof mwenyewe akawajibu kuwa kamera ndiyo ile ile
bah blah blah
watch what happens when we compare the two cities close-up
2739521_tapatalk_1618062921999.jpeg
Screenshot_20210917-232626.png
images (35).jpeg
Screenshot_20210917-232516.png
2739522_tapatalk_1616056244929.jpeg
Screenshot_20210917-232706.png
images (38).jpeg
Screenshot_20210917-232759.png
 
Hiyo yote uliyo piga ni sehemu tu ya kakoo ,kuna posta mpya na post ya zamani kuna upanga mashariki na upanga magharibi kuna gerezani
Mwisho mtakuja na stori za - "kuna Dar mpya na ya zamani, Mwanza mpya na ya zamani, Zenji mpya na ya zamani" na blah blah blah nyingi zisizo na kichwa wala mkia. 😂 😂 😂 😂
 
Na tena wamekopeshwa juzi tena na India baada ya IMF kurusha ndoano kule kwa wahindi. Alafu utamsikia falamaga mmoja akisema "oh, tunatumia hela zetu za ndani kwa ndani, hatukopi" pumbu kama pumbu! Kudadadeki! Nchi kama Amerika inakopa, itakuwa njugu ya nchi ka Bongolaland? 😂 😂 😂 😂
80% of Tanzania total debts are external, they don't have the capacity to finance their country. That's why grants makes 20% of their total revenue.
 
Back
Top Bottom