[emoji1787][emoji1787]huu mji wa nairobi unachekeshaga sana yaani hata video achukue nani na kamera gani ila wapi mji umefubaa,unaukungu giza si giza ,nimecheki video 13 za nairobi ni kichekesho hadi wakenya wenyewe wanalalamika kuwa nairobi bila make up ni kituko ,licha ya hizo video zimefanyiwa makeup wewe tazama video zao ,nakumbuka hata kipindi wode maya katua dar baada ya kutokea nairobi,wakenya walipoona video za dar wakamwabia kuwa kamera yake imeinproof mwenyewe akawajibu kuwa kamera ndiyo ile ile