Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 16,707
- 11,395
Are you not the same guy who said Limuru is not in Nairobi?Zipo kilometres ngapi from CBDs? πππ
Are you not the same guy who said Limuru is not in Nairobi?Zipo kilometres ngapi from CBDs? πππ
Nikama hujui maana ya dual carriageway. Sisi sio mafala.
No one has ever liked being told the truth. Kama haupendi huu ukweli, peleka malalamishi yako WB waliotoa hiyo ripoti. Nyinyi endeleeni kushangilia ukubwa wa Dar huku maendeleo ni zeroTajiri wa slums labda
ni ripoti ya lini?Watanzania wanapiga kelele hapa na hata Uganda imewashinda kwa development πππππ
View attachment 1850939
Hawawezi kukubali facts kwamba Nairobi ni full of village vibe wakati Dar ni more urbanisedhawa watu sijui wana kiwewe cha wap.. ndo mana huwa nabaki pemben naangalia tu
Unataka waonekanaje machoni wawe daily commuters? Kwanza unajua kwamba Dar yote ipo urbanised wakati Nairobi ni chini ya 35%?Hao ni abiria wa kawaida which is a normal thing in any big city. They are not daily commuters
Dar yote ipo full urbanised we zobaAre you not the same guy who said Limuru is not in Nairobi?
shifting goals, very expectedHiyo interview ya Diamond ni ya watu wanaojuana, Snoop anamjua Mond, na Mond anamjua Snoop usifananishe na hiyo picha ya huyo prezzo na uyo mwingine cjui nani nikama walikuwa wanapiga picha na hao ma Star, sasa unaleta mtu kama king kaka anamjua nani
Thibitisha madai yakoUnataka waonekanaje machoni wawe daily commuters? Kwanza unajua kwamba Dar yote ipo urbanised wakati Nairobi ni chini ya 35%?
60 kilometres from CBDsAnother mixed use development area is under construction, Enaki City served by newly constructed Red hill link road.
Yani hizi mixed use developments zote ziko served na big major roads.
Two rivers = Northern Bypass and Limuru Road
Garden City = Thika Superhighway
Nextgen = Southern bypass and Nairobi expressway.
Crystal Rivers and Coloho = Nairobi expressway
GTC = Nairobi Expressway
Galleria = Langata Road
Talk of good planning. π
Wamechanganyikiwa wamekula za uso yote shughuli ya Hyundai Rotem tuu pressure imepandahawa watu sijui wana kiwewe cha wap.. ndo mana huwa nabaki pemben naangalia tu
Zoom in tuone unplanned settlements ama tukusaidie. π π
ππππ wanamaisha ya kihuni kuliko muuza kipapaAkijua broken english na akipata hela ya kununua suit tayari ni middle income earner makazi kibera jioni
Yani mzungu kakosa slum dar ila kaona za dunia nzima π€£π€£π€£πππ Yaani slum ya nairobi tunaipa chart sana kukaa battle moja na Dar, Dar 1 ni Nairobi 10