Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kivukoni to Kongowe
18km
View attachment 1851516
Southern bypass. 29.6km
Screenshot_20210713-141050~2.png
 
Nairobi outgrew its administrative and political boundaries long time ago. Hizo sehemu hutaki tutaje zimeendelea na kujejengeka kwa sababu ya Nairobi. Hundreds of thousands of people from those regions get their daily bread from working in Nairobi and they consider themselves Nairobians
Kwani nani kakuambia Morogoro, Pwani na mikoa mingine pembezoni mwa Dar haijaendelea

Leta mambo yaliopo ndani ya political boundaries za Nairobi County wewe mama, tunajua Dar 1 ni Nairobi 10 😂😂😂😂
 
Hiyo interview ya Diamond ni ya watu wanaojuana, Snoop anamjua Mond, na Mond anamjua Snoop usifananishe na hiyo picha ya huyo prezzo na uyo mwingine cjui nani nikama walikuwa wanapiga picha na hao ma Star, sasa unaleta mtu kama king kaka anamjua nani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
anamjua allaine🙈
 
Nairobi is growing to a megapolis like Tokyo or Gauteng region. Merging all the towns surrounding its metro into one big city cluster.
Yale mapori, slums, zoo, national Park yapo maeneo gani Tokyo na Gauteng? 😂😂😂😂, ni chini ya 35% tu ya naipori ndio ipo urbanised 🤣🤣🤣
 
Kwani nani kakuambia Morogoro, Pwani na mikoa mingine pembezoni mwa Dar haijaendelea

Leta mambo yaliopo ndani ya political boundaries za Nairobi County wewe mama, tunajua Dar 1 ni Nairobi 10 😂😂😂😂
Ni watu wangapi wanafanya kazi Dar kila siku na kurudi makwao Morogoro?
 
Unashangaa kwasababu Dar hakuna dual carriageway inakaribia hata 50km while Nairobi ni hadi 80km na bado serikali inafanya mikakati kuongeza an extra 150km
Hawa silaha yao pekee wakibanwa ni kutaja ukubwa wa Dar. Hapa Africa, Dar ni kubwa hata kwa Cape Town but kimaendeleo ni takataka mbele ya Cape Town. Wanafaa wajiulize huo ukubwa wa Dar inaisaidiaje wakati Nairobi ni jiji tajiri kuliko Dar licha ya huo udogo wake na pia imeendelea kuliko hiyo jiji lao kubwa
 
Tajiri wa slums labda
 
Back
Top Bottom