Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_9257.jpg
 
Tilisi Estate in Tigoni, Limuru bei inaanzia 23 millio, almost double of what unapost hapa. Hata sitaongea kuhusu Tatu City which is 35km from CBD plus many properties in Isinya and Kajiado over 60 km from CBD.
Niletee location za ndani ya county ya nairobi, kila siku nasema kakijiji ka Nairobi bila usaidizi wa counties nyingine hakiwezi chochote 😅😅😅
 
Niletee location za ndani ya county ya nairobi, kila siku nasema kakijiji ka Nairobi bila usaidizi wa counties nyingine hakiwezi chochote 😅😅😅
Nairobi outgrew its administrative and political boundaries long time ago. Hizo sehemu hutaki tutaje zimeendelea na kujejengeka kwa sababu ya Nairobi. Hundreds of thousands of people from those regions get their daily bread from working in Nairobi and they consider themselves Nairobians
 
So blogger za kenya ni stupid 🤣🤣🤣🤣
Sasa unaamini blogger yeyote tu Bora Ni blogger🙈Kama Ni blogger Mkenya jua tu anaandika tu vitu ili apate viewers Lakini Tanzania na wivu Yao wanaichukua serious mpaka Mna ieka kwa Magazeti Zenu,Maajabu🤣Kama mlivyo leta Noma kwa blogger Mkenya kusema ATI Kilimanjaro iko Kenya mpaka mkaanza kusema eti president Uhuru Anafaa akanushe hayo maneno🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom