Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zoom in tuone unplanned settlements ama tukusaidie. 😂 😂
Hiyo ni low density settlement, Huwezi fananisha na huku

30 kilometres from CBDs
Screenshot_20210713-153208.png
Screenshot_20210713-153220.png
 
😂😂😂 wameanza kukumbuka maneno ya dr ndii wakat jua lishatoka watu wanatafuta shuka
 
Na ukitoka CBD mpaka mbagala rangi tatu je???[emoji23][emoji23][emoji23] Ukitoka CBD mpaka tegeta mwisho ??
Dar has more than 120km of dual carriageway CBD - Tegeta 35km, CBD - Mbagsla 25 km, CBD - mwenge via Mandela 25km, CBD - Kibaha 35km, bado sijahesabu barabara fupi za less than 15km
 
Unataka waonekanaje machoni wawe daily commuters? Kwanza unajua kwamba Dar yote ipo urbanised wakati Nairobi ni chini ya 35%?
Eti nini? rudia tena? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ., Dar is slum ni urbanized!.., hiyo ushuzi 90% ni urban?😂😂😂😂., urban 10%.., mashambani 90%.,
 
Dar has more than 120km of dual carriageway CBD - Tegeta 35km, CBD - Mbagsla 25 km, CBD - mwenge via Mandela 25km, CBD - Kibaha 35km, bado sijahesabu barabara fupi za less than 15km

shekilango rd, nyerere rd, coco beach rd, morocco-magomen rd..
 
Back
Top Bottom