Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,927
- 81,151
Tunabisha na ushuzi humu ndani, maskini wa kunuka 😂😂😂,huyo atakua wa kibera huyo, hiv kweli mtu anabisha back and forth kumbe anatumia tekno k8😂😂
Look at Waiyaki way. Limuru to Nakuru, relocation of fibre optic cables is starting soon to pave way for another dual carriage all the way to NaksAlso the western bypass. .......the amount of roads under construction currently in kenya is amazing
Middle class wa kwenye mitandao!wakenya mna dhiki mlo m1 kwa siku shidaWewe mwarabu unadhani ni lazima mtu aajiriwe ndio aishi? Mbona hujiulizi licha ya hayo yote Kenya iko na middle-class wengi kushinda Tanzania?
What about Rironi -limuru road 25km, 10 lanes😁😁😁🤸Also the western bypass. .......the amount of roads under construction currently in kenya is amazing
😆😆 rock villageUmesahau hata hiyo kijiji chao cha glorified fishing village wanaiitanga New York? 😂 😂 😂
Hiyo ni escada apartment ambayo inajengwa na canaan developers na kwa sasa iko floor ya twentyI have been looking at this picture of Westlands and have realised another 20+ floor tower has sneaked into Westlands skyline. Anyone with information and name!? (Zoom the Image)
View attachment 1816273
Ukiulizwa ni lini "tarime, tabora, geita, shinyanga, sumbawanga, chigoma, lindi" zilipewa hadhi ya majiji huna jibu la kujibu.immediately after nakuru... eldoret is next on the pipeline for city status granting by parliament nxt week..
in tz, any town even ones in the village are called cities eg. tarime, tabora, geita, shinyanga, sumbawanga, chigoma, lindi and so on.... wanakufuru swala ya UN View attachment 1816372View attachment 1816379View attachment 1816382View attachment 1816384View attachment 1816385View attachment 1816387View attachment 1816390View attachment 1816429
Mshanasa kwenye mtego yaani paaap kama mouse kwenye trapKumbatia transformer basi
Jinyonge baba 😂 😂Middle class wa kwenye mitandao!wakenya mna dhiki mlo m1 kwa siku shida
Where is 10 lanes wakat thika yenyewe haina 10 lanes 🤣🤣🤣🤣What about Rironi -limuru road 25km, 10 lanes😁😁😁🤸
Sasa mji kama Mbeya iko na nini ipewe hadhi ya jiji? Jiji ambalo liko na nyumba moja ya lift!Ukiulizwa ni lini "tarime, tabora, geita, shinyanga, sumbawanga, chigoma, lindi" zilipewa hadhi ya majiji huna jibu la kujibu.
Middle class source standard charterd 🤣🤣Jinyonge baba 😂 😂
View attachment 1816442
Nimeskitika kwanzia picha ya kwanza mpaka ya mwisho majengo ni yale yale 🤣🤣🤣immediately after nakuru... eldoret is next on the pipeline for city status granting by parliament nxt week..
in tz, any town even ones in the village are called cities😆😆 eg. tarime, tabora, geita, shinyanga, sumbawanga, chigoma, lindi and so on.... wanakufuru swala ya UN View attachment 1816372View attachment 1816379View attachment 1816382View attachment 1816384View attachment 1816385View attachment 1816387View attachment 1816390View attachment 1816443View attachment 1816448View attachment 1816449
🤣🤣🤣🤣 haya sikia huyu yani mukiweza lipa rent middle class basi mushakua middle class labda iyo class iwe ya kenya na sio yakiduniaWewe mwarabu unadhani ni lazima mtu aajiriwe ndio aishi? Mbona hujiulizi licha ya hayo yote Kenya iko na middle-class wengi kushinda Tanzania?
Sio mm niliesema ni world bank ndio wamesema 🤣🤣🤣👇👇👇👇👇 kwann unakasirika sasa yani hata zimbabwe sasa ana nafuu kuliko nyie alaf mkija hapa ohh nye nye sisi tuna GDP kubwa imesaidia nnWewe kila siku nasemanga ni wa kupuuzwa tu. Hauna kipya, ni ujinga tu umejaza kwenye hiyo kichwa chako. Ni wapi nimetaja GDP kwenye comment yangu? Yani badala ya kujibu hoja unakimbilia mambo ambayo hayazungumziwi. Kijana wa Tandale, I know how painful it is but sisi kipimo chetu cha umasikini ni chini ya $3 kwa siku. Nyinyi nchi masikini kipimo chenu ni chini ya $1 kwa siku. Hiyo ndio hoja unafaa kujibu, sio kupayuka