Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Also the western bypass. .......the amount of roads under construction currently in kenya is amazing
Look at Waiyaki way. Limuru to Nakuru, relocation of fibre optic cables is starting soon to pave way for another dual carriage all the way to Naks

20210611_195408.jpg
 
immediately after nakuru... eldoret is next on the pipeline for city status granting by parliament nxt week..
in tz, any town even ones in the village are called cities๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† the likes of; tarime, tabora, geita, mtwara, njombe, shinyanga, sumbawanga, chigoma, lindi and so on.... wanakufuru swala ya UN
eldy9.jpeg-1.jpg
eldoret01.jpg
eldy1.jpg
eldy4.jpeg-1.jpg
eldy1.jpeg-1.jpg
eldy7.jpeg-1.jpg
rupa mall eldy.jpeg-1.jpg
eldoret02.jpg
eldoret08.jpg
eldoret3.jpg
ES_ppLrWAAYHw_F.jpeg.jpg
 
immediately after nakuru... eldoret is next on the pipeline for city status granting by parliament nxt week..
in tz, any town even ones in the village are called cities eg. tarime, tabora, geita, shinyanga, sumbawanga, chigoma, lindi and so on.... wanakufuru swala ya UN View attachment 1816372View attachment 1816379View attachment 1816382View attachment 1816384View attachment 1816385View attachment 1816387View attachment 1816390View attachment 1816429
Ukiulizwa ni lini "tarime, tabora, geita, shinyanga, sumbawanga, chigoma, lindi" zilipewa hadhi ya majiji huna jibu la kujibu.
 
What about Rironi -limuru road 25km, 10 lanes๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿคธ
Where is 10 lanes wakat thika yenyewe haina 10 lanes ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

nasubiria kuoneshwa 10 lanes ritoni limuru road ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ukiulizwa ni lini "tarime, tabora, geita, shinyanga, sumbawanga, chigoma, lindi" zilipewa hadhi ya majiji huna jibu la kujibu.
Sasa mji kama Mbeya iko na nini ipewe hadhi ya jiji? Jiji ambalo liko na nyumba moja ya lift!
 
immediately after nakuru... eldoret is next on the pipeline for city status granting by parliament nxt week..
in tz, any town even ones in the village are called cities๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† eg. tarime, tabora, geita, shinyanga, sumbawanga, chigoma, lindi and so on.... wanakufuru swala ya UN View attachment 1816372View attachment 1816379View attachment 1816382View attachment 1816384View attachment 1816385View attachment 1816387View attachment 1816390View attachment 1816443View attachment 1816448View attachment 1816449
Nimeskitika kwanzia picha ya kwanza mpaka ya mwisho majengo ni yale yale ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Wewe mwarabu unadhani ni lazima mtu aajiriwe ndio aishi? Mbona hujiulizi licha ya hayo yote Kenya iko na middle-class wengi kushinda Tanzania?
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ haya sikia huyu yani mukiweza lipa rent middle class basi mushakua middle class labda iyo class iwe ya kenya na sio yakidunia

nilishakwambia kitu mutatushinda nyinyi ni umaskini tu na njaa hio nitakubali na sio vinginevyo๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Wewe kila siku nasemanga ni wa kupuuzwa tu. Hauna kipya, ni ujinga tu umejaza kwenye hiyo kichwa chako. Ni wapi nimetaja GDP kwenye comment yangu? Yani badala ya kujibu hoja unakimbilia mambo ambayo hayazungumziwi. Kijana wa Tandale, I know how painful it is but sisi kipimo chetu cha umasikini ni chini ya $3 kwa siku. Nyinyi nchi masikini kipimo chenu ni chini ya $1 kwa siku. Hiyo ndio hoja unafaa kujibu, sio kupayuka
Sio mm niliesema ni world bank ndio wamesema ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ kwann unakasirika sasa yani hata zimbabwe sasa ana nafuu kuliko nyie alaf mkija hapa ohh nye nye sisi tuna GDP kubwa imesaidia nn
21EE3713-2DE4-42C1-87B7-4E633F44301B.png
D398DBD9-322A-4629-BCD8-CFC744B0CEA8.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom