Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_6778.jpg
 
Na tayari kashahisi joto, Mwinyi alienda kupooza betri
Mwinyi alimwambia kiustaarabu tu, aachane na kundi lile, watanzania wanataka miradi imalizike na rasilimali kulindwa.
Mama karudi DOM

Aisee mama anapenda kukwea pipa, tofauti na JK aliyekuwa anajibana bana kwenye kale ka Gulfsream yeye anajimwaga kwenye li Airbus.
 
30 years imetia hasara miaka mingapi na faida pia ilipata miaka mingapi, Atcl hata haijui faidia ni nn tangia iumbwe
Atacl bado serekali ina invest haiwezi tegemea faida kwa muda mfupu bado kuna ndege zaidi ya tano zishalipiwa zinakuja bado investment inaendelea leo utafananisha hasara ya ATCL five yrs ni 27m usd against hasara ya kq mwaka mmoja tu 333m usd akili yako iko sawa kweli🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Correction 20 owned, 20 leased, buzzing airport, thousands of employees, lots of routes, parking spaces, landing rights, code sharing agreements, experience, have been profitable before what about ATCL zero profits since inception, zero routes
Ndio mulidanganywa na kenyataa hvo
3 owned and fully paid
17 loan from foreign banks
20 leased
😂😂😂😂👇👇👇👇 ww na macharia nani anajua zaidi
1D9E50F3-F2E6-4BC4-B0E2-374D8EB3E42D.jpeg
E51FE41D-1B8E-49BD-9650-9EB4D4DAED3C.jpeg



Haya tuambie hzo ndege 20 lini mulilipa mukawa nazo 😆😆😆😆 aliewaroga nyinyi alizikwa mwaka 1860
 
Back
Top Bottom