Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ww sio tena mjinga umeaza ukichaa sasa
Mihemko sasa hyo, ungelikuja na ushahidi mbona sitopinga tena na nitakubali tu
Angalia sasa ume comment upupu kisa na wewe uonekane ni mnenguaji mzuri sana pande hzi
 
Nan ana mambo ya kitoto? Kwani wako wangapi Kama ww umewahesabu!? Nataka nikuonyeshe misiba miwili ya Marais alafu ndio unioneshe utoto wangu ulipo

R.Mugabe's funeral
View attachment 1734474View attachment 1734474View attachment 1734475
Magufuli's funeral
View attachment 1734477View attachment 1734477View attachment 1734477View attachment 1734479
Najua utaendelea kubisha,lakini ukweli ni kwamba,Magu alishinda kihalali na haupora kura ya mwananchi,mm ni mmoja wa maafisa waliosimamia uchaguzi nikwambie,Magu alishinda kwa halali.Nikwambie tu,ule Uzi ulio weka humu ulizingua Sana aise! frankly speaking!Yaani Hii halaiki ni jibu tosha.
Wote walalahoi
Kila interview utakuta mtu anasema anatujali sana walalahoi, yani wao utajiri hawautaki kabisa raha yao wanaamini matajiri wote na wanaolalamika maisha magumu ni wapigaji...

Sasa hao wote hapo wanawaonea wivu wenye fursa manake wanajua kuna watu watatusua

Tena kati ya wote wale waliohojia kuhusu kifo cha magu sijaona mtu akigusia ki maisha km amemkuzaje, unaskia porojo za ulalahoi tu.
 
Naona jukwaa la siasa lishakuharibu unaiga mpk misemo yao ya kipuuzi.
 
Haya mambwa si nilisema mm, yanatupotezea pesa bure kuyalisha, kuyapakiza ndege, ktk pesa ambayo mm inaniuma sn taifa tunaipoteza bure basi ni kuihudumia hii mijibwa Taifa Stars.

Eti tunalipa kocha madola kwa madola ayafundishe majibwa haya!! Inauma sana.

Taifa Stars yabamizwa 1-0 Equatorial Guinea na kukosa ticket ya kushiriki AFCON 2022...
 
Kila siku yanafungwa, hayajawahi kushinda hata cku moja majibwa, yn daily yanat..mbwa tu.

Taifa Stars yabamizwa 1-0 Equatorial Guinea na kukosa ticket ya kushiriki AFCON 2022...
 
Wakenya mnazungmziaje hii kitu

Screenshot_2021-03-26-07-13-13.png
 
Nan ana mambo ya kitoto? Kwani wako wangapi Kama ww umewahesabu!? Nataka nikuonyeshe misiba miwili ya Marais alafu ndio unioneshe utoto wangu ulipo

R.Mugabe's funeral
View attachment 1734474View attachment 1734474View attachment 1734475
Magufuli's funeral
View attachment 1734477View attachment 1734477View attachment 1734477View attachment 1734479
Najua utaendelea kubisha,lakini ukweli ni kwamba,Magu alishinda kihalali na haupora kura ya mwananchi,mm ni mmoja wa maafisa waliosimamia uchaguzi nikwambie,Magu alishinda kwa halali.Nikwambie tu,ule Uzi ulio weka humu ulizingua Sana aise! frankly speaking!Yaani Hii halaiki ni jibu tosha.
Alishinda kihalali wapi wewe Mataga nenda kachukue buku saba yako pale lumumba watoto wasife njaa. Huyu magu kafia madarakani tofauti na Mugabe yeye hakuwa raisi wa nchi tena. Udikteta uchwara kama wa magu ndo umefanya watu wengi wajitokeze eti siyo kisa wanampenda, wengi wamekuja kuhakikisha je ni kweli kafa?? Maana hili ni tukio la kwanza la raisi kufia madarakani kwa hapa bongo halijawahi kutokea..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom