Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,427
SawaHivi vitu ni personal sn nmeweka ili kumuonesha mkuu lusematic kwmb nilikwenda kuangalia maendeleo, ukiweka humu watu wanaweza kuku trace, unajua sisi tupo humu jf katika majukwaa mengi na tuna maadui wengi mkuu.