Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakuu hii nchi inajengwa asikwambie mtu, wacha hawa viongozi wapumbavu wastaafu wamchukie Magu mana anawachoresha sn wanaonekana hakuna walichokuwa wanakifanya ofisini, hii hapa ni road ipo pale ubungo mawasiliano (nyuma ya ubungo interchange) mbele yake kuna bridge nimeweka hapo pichaView attachment 1709737View attachment 1709738View attachment 1709739View attachment 1709740View attachment 1709741
Hapo kumekuwa pazuri hatari zamani palikua pana bonge la bonde mafuriko kama yote... na ndo wataweka gas filling station pa1 na kituo kipya cha mwendokasi..
 
Hapo kumekuwa pazuri hatari zamani palikua pana bonge la bonde mafuriko kama yote... na ndo wataweka gas filling station pa1 na kituo kipya cha mwendokasi..
Nimeangalia ile mitaro imewekwa hapo kaka ni hatari, kwenye hilo shimo unaona hapo pembeni ndipo kuna mitaro mikubwa mno mnaweza kuingia watu kumi mmebebana na wajuu asiotoke nje kirahisi.
IMG_20210222_144548_508.jpg
 
Hapo kumekuwa pazuri hatari zamani palikua pana bonge la bonde mafuriko kama yote... na ndo wataweka gas filling station pa1 na kituo kipya cha mwendokasi..
Kituo cha mwendokasi na hiyo gas filling station nadhani vitajengwa pembeni kdg mbele ya hapo kwenye hyo picha kulia, Mana nmeona eneo limeshawekwa tayari na kuna vifusi ndani na ni eneo kubwa, nilisahau kupiga picha.
IMG_20210222_144628_189.jpg
 
Nilitaka niwaoneshe Wakenya kwamba ni ngumu sana kupata slums Dar au Tz cz Watz wanajenga, hapa ni Kivule which is too far from CBD lkn kumewaka kwa vijumba vzr vzr, bado nina tour ya kule kivule nitaweka hapa picha mzione View attachment 1709752View attachment 1709753View attachment 1709754View attachment 1709755View attachment 1709756View attachment 1709757View attachment 1709758View attachment 1709759
kuna watu huwa wanauliza majority ya wakazi wa dsm wanaishi wapi!!!!
dsm ni jiji ambalo halina matabaka. popote unaishi tu. wajionee hizo nyumba za kawaida kabisa. amabazo nimejaa kila sehemu dsm.
 
Issue ya SGR lot ya Dar - Moro inahitaji busara ya hali ya juu. Kwa vyovyote vile huenda mkandarasi keshatumia gharama zaidi ya alizitarajia au anakwepa kuvuka ukomo wa gharama. Acha tuitumie kama learning point. Binafsi sitashangaa kama akipewa lot 3 baada ya kukamilisha lot 1.
nachelea kusema i can identify a smart person when i see one mdogoangu anafanya uchumi mlimani natamani aje awe na alaytical mind kama hii yako, kongole kwako kaka
 
Ubabe upi kwa mfano, nani kakataa km ugonjwa haupo? Mwanzoni tuliumaliza ila umerudi tena cz hatuwezi kuacha kufanya mambo ya kiuchumi eti kwasabu ya corona, hatuwezi kuacha kupokea watalii na wageni wanaotuletea millions of dollars eti kwasabu ya corona, so in that way ugonjwa umerudi ila kwa sasa umerudi kwa adabu cz no one cares about it, upo na watu hatuvai barakoa na tutaumaliza mapema kuliko kipindi unaingia, hv ninavyokuambia umeshaanza kupotea.
Akili zako tena zipo kweli, always in denial
 
Sasa kama dunia ya kwanza huko USA wanauziwa fake mask . Je huku kwetu afrika
 
Huwezi kuona shida ya educational system ya kenya cz huwezi kuona msitu ukiwa ndani yake lazima utoke nje, na kiongozi mfano wa Nyerere hamuwezi kumpata cz wako wachache labda mngempa PLO Lumumba cz ndio waafrika wachache waliobaki wenye elements za kina Nyerere km Magufuli, lkn huyo Lumumba msingeweza kumpa hata kama angegombea kwasabu ni mjaluo.
Mpeni assad kiti manake ni jamaa wa kutetea ukwel na wala haogopi
 
Mpeni assad kiti manake ni jamaa wa kutetea ukwel na wala haogopi
Hehehehee we kwa kulopoka hujambo, ss Assad na siasa wapi na wapi, mm nme suggest mumpe PLO kwasababu nyie hamjapata bado kiongozi mwenye uzalendo na Kenya na hata hawa wapuuzi wanaotajwa tajwa kumlithi Uhunye pia hamna kitu.
 
Back
Top Bottom