Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwn nairobi ni CBD
sijui,,,
20210118_153803.jpg
 
Lol!!! Theres enough content online about these places.... Why you guys choose to look stupid I don't understand




Machakos is a considered a small township here in Kenya and folks here rarely post such..

Still looks much better than the Dream house filled Iringa's Mbeya's Morogoro's et all that you guys post here day and night!!!!
hamna kitu hapo ukimuweka twiga akiinama na kunyanyua shingo kidogo tu analiona pori chap anakimbia na kuingia vichakani....

unaselect kasehemu kapo mini area kamezungukwa na vichaka na chakusikitisha ni 18km from nairobi CBD yaani km chache tu unaiacha nairobi hivyo ni vituko vya bwana chezo

hamna kitu hapo
 
Mm au world bank
Mm au source frome kenya
Hapo kuna world bank ganiya chayo au..
Alafu tatizo hyo link haitozuia vijana kuchapa kazi
Watu wanapiga hela wewe unaleta vi link vya media huru hapa

Mambo yetu hutoyaweza wewe kwanza ukijichanganya na media kwishnehi
 
hapo siyo pori ni hiko kipande tena kidogo sana ungekijua usingesema hivyo hiyo ni reserve area....

kuwa mtulivu wenye jiji tunajua kuliko uonavyo
What about Tundwi in Kigamboni Dar es Salaam below? Is Tundwi in Dar also not a village? 😂 😂 😂
Screenshot_20210118-235713~2.png
Screenshot_20210118-235823~2.png
Screenshot_20210118-235641~2.png


Hii ndio jiji inashindana na Nairobi! 😂 😂 😂
Alafu utasikia kelele za "density" hapa 😂 😂
 
I am still in Kigamboni, Dar es Salaam. The village below is called Pemba Mnazi and it's right in Dar es Salaam city just in case you get confused 😂 😂. Huku uwanja vinauzwa bei poa 😂 😂
Enjoy your viewing!
Screenshot_20210119-003641~2.png
Screenshot_20210119-003806~2.png
Screenshot_20210119-003538~2.png
Screenshot_20210119-003605~2.png
Screenshot_20210119-003849~2.png
Screenshot_20210119-003908~2.png
 
I am still in Kigamboni, Dar es Salaam. The village below is called Pemba Mnazi and it's right in Dar es Salaam city just in case you get confused 😂 😂. Huku uwanja vinauzwa bei poa 😂 😂
Enjoy your viewing!
View attachment 1680814View attachment 1680815View attachment 1680816View attachment 1680817View attachment 1680818View attachment 1680819
Hivi eneo ambalo lipo surveyed ni kijiji? Hilo ni eneo la halmashauri ya Kigamboni district, lilikua lipo reserved, sasa tayari limefanyiwa survey na real estate agents wapo kwenye joint ventures na Council kuuza surveyed plots

Ulishaona wapi vijiji vilivyopo Nairobi vikiwa surveyed?

Screenshot_20210119-052143.png
 
Back
Top Bottom