komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Hio post imeanzia huko kama ulikua hujui 😆😆😆😆😆Haya ndio yale matatizo ya kudandia post za watu![]()
Kasome vizuri kuanzia hko juu alafu uje ujibuHio post imeanzia huko kama ulikua hujui![]()
Sasa inamaana hawapo kenya hawa mpaka wanapata statistics wanaoteshwa na nani ????👇👇👇👇👇Kwhyo hawapo hao wa kazi mitaani![]()
Usipanic basi 😃😃😃Kasome vizuri kuanzia hko juu alafu uje ujibu
Umekwama mzee babaSasa inamaana hawapo kenya hawa mpaka wanapata statistics wanaoteshwa na nani ????


Sawa toa hizo za brt ongelea zile zinginePicha nyingi za brt ndio mana jamaa kauliza swali..
Tena ni swali zuri snaa kulingana na post ilivyotolewa na mwenzako




Na kwa taarifa yako ni 2020 world bank report 🤣🤣👇👇👇👇Sikiza hapa mumebakia na BBi nchi inawafia mkononiUmekwama mzee baba![]()
Haya mambo ni makubwa kuliko uwezo wako wa kufikiri.Unemployment gani hyo na wakati vijana siku hizi wanafanya kazi mitaani na kulipwa
Yani sijapata kuona kilaza wa sampuli hio yani kanichekesha sana 🤣🤣🤣🤣Haya mambo ni makubwa kuliko uwezo wako wa kufikiri.
Ni Certified kilazaYani sijapata kuona kilaza wa sampuli hio yani kanichekesha sana![]()



Kwnn unaiita superhighway? Ujinga iko na hawa watu haina kipimoNyinyi hamna barabara yoyote ambayo imefikia hadhi ya Thika superhighway. Endelea kuongea matope.





Umaskini wenu upo level nyingine🙂Sasa wewe umefanya kazi na masikini kwani hujui masikini wako kila mahali hata USA? Kuna homeless people wengi sana huko.
Nani kakuambia mko mbele yetu? Tuna vitu vingi nyie hamna au r u talking about gdp? Mbn hata electrification mlisema mmetuzd? Kilometres of paved roads, water availability, food security, schools, etc, lkn mbn siku hizi mmekaa kmy? Tz hatubabaishwi na makaratasi, sisi mwendo ground tu hayo mengine mtaongea wenyewe.Itasidia Tanzania kuipiku Kenya![]()
![]()




🤣🤣🤣LCD eti ipite Kenya🤣🤣Nani kakuambia mko mbele yetu? Tuna vitu vingi nyie hamna au r u talking about gdp? Mbn hata electrification mlisema mmetuzd? Kilometres of paved roads, water availability, food security, schools, etc, lkn mbn siku hizi mmekaa kmy? Tz hatubabaishwi na makaratasi, sisi mwendo ground tu hayo mengine mtaongea wenyewe.
Btw hata kwenye makaratasi pia tumeanza kubadili upepo kwa speed ya light, Magu hataki kabisa tuzidiwe na nchi yoyote ukanda huu iwe ground au kwenye paper![]()
naona peasantry farming alias kilimo cha ujamaa yet some fools hu-claim ati kenya is capitalist! sisi tumepita huku watu wana 10 acres and above! halafu unaweza ukakuta squatters kwa Uhuru's land au some other landlords meaning half of the harvest will go to landlord!unafanya selection za area
huku unamwachia nani yaani 18km mambo ndiyo yako hivi,,kuweni serious msipende kujichosha for nothing
18km from Nairobi cbd
hii kaliView attachment 1680405View attachment 1680406View attachment 1680407View attachment 1680408View attachment 1680409View attachment 1680410View attachment 1680411
kushinda yenu? omba omba kutoka tanzania wapo kila mahali kenya..hii ndo inaitwa extreme povertyUmaskini wenu upo level nyingine![]()