Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar such are very few, Nairobi expressway is loading, three level interchange zitakua kadhaa πŸ˜‚ πŸ˜‚
more of Nairobi roads.., hatuna wivu na jirani hataa!

Huu msumari kuuchomoa mtaimba haleluya.
IMG_20200929_165946.jpg
IMG_20200929_165943.jpg
IMG_20200929_170019.png
IMG_20200929_165950.jpg
IMG_20200929_170103.jpg
 
View attachment 1584591

Dar only two interchanges, na gorofa tatu ama nne za maana πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚, hiyo Dar minus bridge na BRT size yake ni Mombasa., outside Dar which other towns can boast of flyovers/interchange???., Tz bana!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jamaa unapenda Julia lia sana.
Sisi tunabandika msumari baada ya msumari.
images (46).jpeg
images (45).jpeg
 
Tony unanichekesha sana, inaonekana hujapitia kwa undani "International politics and relations". Maji yote na vyanzo vyake ambavyo vinahusisha nchi zaidi ya moja yanalindwa na sheria za UN. Hawawezi kuyachafua au kuyaujumu kwa njia yoyote, Satellite zinafuatilia dunia nzima kuhakikisha kwamba hakuna sheria yoyote ya UN inayokiukwa, atakayekiuka ujue ameikosea dunia nzima lazima atapata adhabu.
Wewe uko biased. Kwa hivyo kulingana na wewe dunia itairuhusu Egypt kubomb dam ya nchi nyingine lakini dunia hio hio itaikataza Ethiopia kutia sumu maji hayo? Huoni jinsi maoni yako yanakinzana? Egypt itaruhusiwa kufanyia nchi nyingine maovu ila Ethiopia itakatazwa??
 
Wacha ushenzi. Hamna city Afrika Mashariki yenye density kubwa ya majumba kushinda Mombasa. Kwa density namaanisha majumba mengi katika space kidogo. Umeshawahi kuitazama Mombasa kupitia satellite?
hahahhaa haya msikieni huyu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mm mombasa ww utanidanganya nn unaniambia juu ya hayo magofu ya old town hapa
 
Back
Top Bottom