Kwa nchi kuwa na kundi kubwa la twiga km hili ni jambo la kujivunia sn
Duh inabidi tuwe tunalima mawese..na kuacha kuimportImporting na sidhani kama Bakhresa group ina mashamba!
Evidence
Hii haina utofauti na nyumba ya tope🤣🤣🤣Angalia mwanzo mpk mwisho ujenzi wa nyumba za Wakenya wanazokesha kutupostia humu hawa jamaa wana dhiki ya kiwango cha SGR kwakweli View attachment 1424168View attachment 1424169View attachment 1424170View attachment 1424171View attachment 1424172View attachment 1424173View attachment 1424174View attachment 1424175View attachment 1424176View attachment 1424177View attachment 1424178View attachment 1424179
Nadhani juhudi zimeanza mwaka jana baada ya PM kutilia mkazo, pia kuna fungu limetengwa kwa ajili hyo, kuna wakati huwa nawaza predecessor wa Magu cjui alikuwa na mawazo gn
Relax mzee,picha moja inatosha
hautarudi tenaaa komora
Keep telling yourself liesBakhressa owns Tanzania.
komora096 haurudi nakwambia km unabisha fanya km unajikuna maamaeee, kenya mna maajabu mengi duniani hapa.
Hiyo Dar ya wapi hiyo leta evidence
nyumba kama hizi wanajenga matapeli na kuziuza kwa gharama kubwa, usipomshirikisha fundi kukagua jengo kabla ya kununua unakuwa umeumia sana tu