Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

huyo jamaa kila siku lazma akutane na mabomu muoneeni huruma hakuna hata siku moja hua anatoka salama humu ndani[emoji23][emoji23]
Nimecheka sn leo eti kajifanya kuleta mjengo wa tope ili twende sawa kumbe nao pia mjengo wao [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ujinga wako ndio umefikia kiwango hiki Dah Wakenya noma sana yn unashindwa kugundua kwamba hilo neno limepachikwa tu hapo ata ww unaweza andika jina lako kwenye ukuta wa Marekani
Acha kuongelea mambo usioelewa. Have you watched the series "Money Heist"? Watch it then come back later na uharo wako
 
Acha kuongelea mambo usioelewa. Have you watched the series "Money Heist"? Watch it then come back later na uharo wako
Dar es salaam baba laooo [emoji116][emoji116]
tapatalk_1587376872584.jpeg
 
These people's comments are driven by emotions hadi nashangaa. Yani mtu anakasirika just because of that without knowing the story behind that picture or even the name
Ntaitafuta ila najua ndani yake kutakuwa na upuuzi tu km kawa, lazima watakuwa wanaongelea roba za wakora, slums za kibera, wizi, utapeli, rushwa na ugumu wa maisha (km jina lilivyo), ndvyo walivyo hao, huwa hawaongelei mazr ya Afrika.
 
Mi nimeiangalia hiyo "money Heist" inazungumzia wezi wa fedha
 
These people's comments are driven by emotions hadi nashangaa. Yani mtu anakasirika just because of that without knowing the story behind that picture or even the name
Yani wasee sijui km wako duniani kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani kitu km hicho hta km hujakiona lakini lazima ukiskie tu..
Lacasa de papel...

Tokyo and Nairobi
IMG-20200416-WA0000.jpg
Screenshot_20200413-110049_WhatsApp~2.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom