komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Naona umeanza ku panicMkuu mombasa ni mji tu co nchi, naona huwa unajaribu kuitenga Mombasa from Kenya![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umeanza ku panicMkuu mombasa ni mji tu co nchi, naona huwa unajaribu kuitenga Mombasa from Kenya![]()
Umeiangalia na ukaielewa ya kwamba inazungumzia tu wizi wa fedha, na wala hujui kwannMi nimeiangalia hiyo "money Heist" inazungumzia wezi wa fedha


graffit sio? Hamna sehemu yenye mitaa ya majina ya Tanzania kama the West! Ukiachia mbali mitaa ukiandika Kilimanjaro au Zanzibar au Serengeti Restaurant utapata mamia! Hata Nairobi yenyewe ina Kilimanjaro Avenue ila Dar haina Kenya Avenue! ni majina tu ya marais wa Kenya kama ilivyo marais wa nchi nyingine!The name Nairobi is famous. Dar will never
View attachment 1424328
Comment zako nyingi umekuwa ukii tenga Mombasa from Kenya pengine kwa makusudi au kutojua hata Wakenya wa humu wanajua hilo



Basi watu hawangelishikiana mapanga kilimanjaro kisa ardhi ya jamii flanithe sad part is wanachekeana.. badala ya kumkanya kuongelea ukabila
Kwn hapa nimekuja kufurahisha watuComment zako nyingi umekuwa ukii tenga Mombasa from Kenya pengine kwa makusudi au kutojua hata Wakenya wa humu wanajua hilo![]()



Mt Kenya has many lakes,waterfalls and valleys unlike mt Kilimanjaro which only has snow,,mt Kenya is the most attractive mountain in Africa but not yet exploredMan this shit is scary unphotogenic, hata ukitumia 4K hii kichuguu itakua horrible tu.
and why don't u take time now to market that Kichuguu! FYI Mt Kilimanjaro has many lakes (Chala, Amboseli and Jipe) and rivers around! Even waterfalls! FYI Galana river in Kenya has one of it's source from Mt Kilimanjaro!Mt Kenya has many lakes,waterfalls and valleys unlike mt Kilimanjaro which only has snow,,mt Kenya is the most attractive mountain in Africa but not yet explored
Mkuu huyo muhuni wala usimjibu kuhusu hoja ya mt Kilimanjaro mana dunia itashangaa sn kuanza kuukosea heshima mlima kivutio na maarufu zaidi dunianiand why don't u take time now to market that Kichuguu! FYI Mt Kilimanjaro has many lakes around! Even waterfalls!
Marangu waterfalls
View attachment 1424585
Take your emotions to the bedroom
Au co, kwahyo we huna emotions au vpTake your emotions to the bedroom
Their lives revolve around Dar. They don't know there's a world out there beyond the boundary walls of DarYani wasee sijui km wako duniani kweli
Yani kitu km hicho hta km hujakiona lakini lazima ukiskie tu..
Lacasa de papel...
Tokyo and NairobiView attachment 1424570View attachment 1424573
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkikasirika huwa mnaingia personalTake your emotions to the bedroom
You don't even need to watch it. Continue spewing hate as usualNtaitafuta ila najua ndani yake kutakuwa na upuuzi tu km kawa, lazima watakuwa wanaongelea roba za wakora, slums za kibera, wizi, utapeli, rushwa na ugumu wa maisha (km jina lilivyo), ndvyo walivyo hao, huwa hawaongelei mazr ya Afrika.
Are you sure or just felt saying so?Mt Kenya has many lakes,waterfalls and valleys unlike mt Kilimanjaro which only has snow,,mt Kenya is the most attractive mountain in Africa but not yet explored
Sasa angalia vile Mwenzako ametoa uharo hapo juu na kutaja hata vitu ambazo haziko ndani. Chuki na kitu mbaya jamani!!Mi nimeiangalia hiyo "money Heist" inazungumzia wezi wa fedha
Si umewekewa tweet hapo??
and why don't u take time now to market that Kichuguu! FYI Mt Kilimanjaro has many lakes (Chala and Jipe) and rivers around! Even waterfalls! FYI Galana river in Kenya has one of it's source from Mt Kilimanjaro!
![]()
![]()
![]()
Marangu waterfalls
View attachment 1424585
Ndoro waterfalls
100% sureAre you sure or just felt saying so?