The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Angalia mwanzo mpk mwisho ujenzi wa nyumba za Wakenya wanazokesha kutupostia humu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hawa jamaa wana dhiki ya kiwango cha SGR kwakweli [emoji116][emoji116]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hyo ndio level yenu middle class wa bongo wa nyuma za tsh 20k[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia mwanzo mpk mwisho ujenzi wa nyumba za Wakenya wanazokesha kutupostia humu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hawa jamaa wana dhiki ya kiwango cha SGR kwakweli [emoji116][emoji116]View attachment 1424168View attachment 1424169View attachment 1424170View attachment 1424171View attachment 1424172View attachment 1424173View attachment 1424174View attachment 1424175View attachment 1424176View attachment 1424177View attachment 1424178View attachment 1424179
So unataka kumaanisha mtandao wa 4g kwenu haujaenea kenya nzima mpaka mtumiee balloonsGoogle 4G Loon Balloons over Kenya. Providing 4 G internet to all parts of the country. Tanzania endelea kuwa LDC
View attachment 1423088
Mamaeee hv kunyaland wako na akili za hovyo sana wakoradhi wajenge kwa miti ila juu wanawezeka na msouth chn wanakupigia tilesAngalia mwanzo mpk mwisho ujenzi wa nyumba za Wakenya wanazokesha kutupostia humu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hawa jamaa wana dhiki ya kiwango cha SGR kwakweli [emoji116][emoji116]View attachment 1424168View attachment 1424169View attachment 1424170View attachment 1424171View attachment 1424172View attachment 1424173View attachment 1424174View attachment 1424175View attachment 1424176View attachment 1424177View attachment 1424178View attachment 1424179
Hawa jamaa wameshindikana yn wana maisha magumu mnooMamaeee hv kunyaland wako na akili za hovyo sana wakoradhi wajenge kwa miti ila juu wanawezeka na msouth chn wanakupigia tiles
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli yaani sijaamini hadi na rudia kuangalia hizo picha mara mbilimbiliHawa jamaa wameshindikana yn wana maisha magumu mnoo
Mungiki noma!Hizo hapo washafua
View attachment 1424090
View attachment 1424091
Sent using Jamii Forums mobile app
uko na akili kichwani kweli??Kilimani ni size moja na Dar in realityView attachment 1424164View attachment 1424165
Sent using Jamii Forums mobile app
Are they importing au wanamashamba Kigoma etc?What happened to BIDCO business in Tanzania?
![]()
Importing na sidhani kama Bakhresa group ina mashamba!
Duh Bakhressa afanye importing ya palm wakati Tz hilo zao limejaa mpk linamwagika, labda co huyu ninaemjua mm ngj nifatilie.Importing na sidhani kama Bakhresa group ina mashamba!
Hata Bagamoyo sugar kapewa shamba! Pitia Webpage yake! Si ajabu!Duh Bakhressa afanye importing ya palm wakati Tz hilo zao limejaa mpk linamwagika, labda co huyu ninaemjua mm ngj nifatilie.
Yah nimepitia mtandaoni hapa nahisi watakuwa wana import from Malaysia hizo raw materials, mana hata hizo jitihada za ku revive kilimo cha hilo zao ndo kwnz zimeanza mwaka jana, na materials zilizopo hazitoshelezi kwa ss, unajua hii nchi cjui ilikuwa inaelekea wapi yn Tanzania na Malaysia zina weather zinazofanana kuhimili uzalishaji wa zao hilo cha ajabu Malaysia ni the second world's largest producer while Tanzania is not even in the list dah.Hata Bagamoyo sugar kapewa shamba! Pitia Webpage yake! Si ajabu!
Bakhressa owns Tanzania.Duh Bakhressa afanye importing ya palm wakati Tz hilo zao limejaa mpk linamwagika, labda co huyu ninaemjua mm ngj nifatilie.
Sasa mwenyewe unapost picha kuringisha huku vibarara ni vumbi tupu. Ona kando ya hiyo main highway. Kisha la ajabu angalia nyuma ya hili jengo refu, barabara haina lami, hii ni town kweli!?🤔🤔🤔By
Kilimani itapigwa nje huko View attachment 1424057
Na ndiye tajiri namba moja Tanzania au co?Bakhressa owns Tanzania.