TYWIN LANNISTER
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 854
- 209
Facts are b.tches
Kumenoga kakanilikuwa na kikao maeneo haya.. nikajaribu kupiga picha
View attachment 1357116View attachment 1357118View attachment 1357119View attachment 1357120View attachment 1357122View attachment 1357123View attachment 1357124
LOL kweli Kenya out of Nairobi pote shithole, huu mji ni unpopular lakini ni mzuri kuliko maeneo mengi ya Nairobi
Picha hi katurudisha uswaziKuna mkenya anafeel yuko Johannesburg View attachment 1357114View attachment 1357115
Sent using Jamii Forums mobile app
Continue fooling yourselfKenya ni Nairobi tu na maeneo kidogo ya central Kenya
Ukitoka hizo counties za central huko kwingine kote ni shitholes
Tanzania ni tofauti sababu maendeleo yapo kila mkoa, there's very slight difference between Dar and other regions in Tanzania, almost maendeleo yapo equally lakini Nairobi na wajir is like heaven and earth
Kama tulivyofanya kwenye madini, tunaweka mikataba pembeni halafu tuje tuingie mikataba ya kimagumashi yenye concessions kubwa zaidi kuwapa mabeberu ambao ndo wana mtaji.
LOL funniest everContinue fooling yourself
Outside dar
No Tanzania city beats eldoret Nakuru kakamega kisumu
Anamaanisha zile cities ambazo usafiri wao mkubwa ni baiskeli 😂😂😂LOL funniest ever
Those shitholes are beaten by towns not even cities