ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 73,468
- 137,004
Ni yale mawili tena yanaoneka clear kabisa over 30 ila zile nne zote ni under 30 u will come and tell me here๐๐๐๐๐๐
Ni yale mawili tena yanaoneka clear kabisa over 30 ila zile nne zote ni under 30 u will come and tell me here๐๐๐๐๐๐
Wewe ulibaki unapost CBD na barabara Kwanza hata hiyo battle ya barabara Kisumu will defeat Arusha 10 to 1.Unawazimu wewe ulikimbia kwenye suburbs hapa hehehe cheza arusha wewe
Eti CBD au unataka kuiona CBD unawazimu sana wewe na siku zote hukubali kushindwa ๐๐๐๐Wewe ulibaki unapost CBD na barabara Kwanza hata hiyo battle ya barabara Kisumu will defeat Arusha 10 to 1.
Sent using Jamii Forums mobile app
kisumu ni namba ngapi kwa Kenya kabla sijacommentWere you not here when Kisumu was giving Arusha heavy punches the other day?
Sent using Jamii Forums mobile app
Number 3
Venye masiku yanasonga ndio unazidi kuwa mjinga. But thank your ancestors umekutana na Teargass, I will deal with you hadi akili ikuwe sawa. Here we go, Iknow you hate counting but itabidi tu uzoe.Ni yale mawili tena yanaoneka clear kabisa over 30 ila zile nne zote ni under 30 u will come and tell me here๐๐๐๐๐๐
Ila watu huko wanatumia fisi punda na mitumbwi kwa usafiri. Wakati baiskeli ni taxi!
Mm nakwambia bro over 30 ni 2 buildings only and the rest are under 30 just wait and u will see๐๐๐Venye masiku yanasonga ndio unazidi kuwa mjinga. But thank your ancestors umekutana na Teargass, I will deal with you hadi akili ikuwe sawa. Here we go, Iknow you hate counting but itabidi tu uzoe.
Anza na hii enye iko karibu, na ujue there are three more floors down there that have not been shown.
View attachment 1357298
Why should we wait and already the pictures are here? I know counting is your major problem but just try to countMm nakwambia bro over 30 ni 2 buildings only and the rest are under 30 just wait and u will see๐๐๐
Floors hua hazihesabiwi hvo hvo wewe kwa akili yako utaona kila kitu hapo
How do I count there hebu wewe nionesheWhy should we wait and already the pictures are here? I know counting is your major problem but just try to count
View attachment 1357318.
Acha kutoroka, bado tuko kwa zile nne zenye ulisema ni below 30. Lazima tuelewane leo.How do I count hapo na sioni everything hebu nioneshe 43 and 38 floors as the link shows kwanza am waiting
Ww unaujinga sana kichwani ndio maana hata majengo yenyewe yanakuumbua mwenyewe๐๐๐๐๐ mm nakwambia over 30 ndio mawili tu just let's wait and seeAcha kutoroka, bado tuko kwa zile nne zenye ulisema ni below 30. Lazima tuelewane leo.