Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna mkenya anafeel yuko Johannesburg View attachment 1357114
IMG_20200214_123134-01.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya ni Nairobi tu na maeneo kidogo ya central Kenya

Ukitoka hizo counties za central huko kwingine kote ni shitholes

Tanzania ni tofauti sababu maendeleo yapo kila mkoa, there's very slight difference between Dar and other regions in Tanzania, almost maendeleo yapo equally lakini Nairobi na wajir is like heaven and earth
 
Continue fooling yourself
Outside dar
No Tanzania city beats eldoret Nakuru kakamega kisumu
 
We're ahead of you, no need to justify

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama tulivyofanya kwenye madini, tunaweka mikataba pembeni halafu tuje tuingie mikataba ya kimagumashi yenye concessions kubwa zaidi kuwapa mabeberu ambao ndo wana mtaji.

Tumevutavuta mkia kwenye mkataba wa bandari ya Bagamoyo mpaka mfalme wa Oman aliyekuwa enthusiastic na mradi huo kafa na matokeo yake Wakenya wanasonga kwa kasi kujenga bandari yao ya Lamu ambayo ikikamilika ndo itakuwa ikibeba mimeli mikubwa

Na sasa tumejivutavuta kwenye gesi then wanamsumbiji wanafanya kweli.
 
120 Reactions
Reply
Back
Top Bottom