mwathadan
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 3,446
- 4,951
So what hizo ni vitu za kawaida there's no story there...wakati kama huu wa mafuriko it's expected kutakuwa na power interruption... Vipi geza jana watu 11 wamekufa morogoro kutokana na mafuriko inashangaza unaconcentrate na kenya ni kama these things hazihappen kwinginethat is a collection of one week! From 7 days back! U want for the whole year? 😀
Sent using Jamii Forums mobile app




