Safi sana.Sana mkuu, Nilikua na Mburundi flani nchi flani, yaani ilikua kama tumetoka nchi moja, kulikua na Ukuta kila mtu anaweka chata la nchi yao, yeye alichora bendera ya Tanzania [emoji23]. Waburundi wapo safi Sana at least wale niliowahi kutana nao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app