Hii kawatupia Wakenya yaan wanazani Corona haitembei Usiku😁😁😁😁😁“Ugonjwa huu wa corona ni vita kama vita nyingine, wakati unaanza nilisema siwezi kuruhusu lockdown, imagine unafungiwa ndani hupati hata nafasi ya kuonana na Mkeo?, unafungiwa ndani eti usitembee usiku kana kwamba corona inatembea usiku tu, nikasema hapana” -JPM
Iyo city sio kubwa kivile...yani ukiwa hapo CBD unatembea upperhill unatembea tu
Watajua hawajuiTuliwaambia kuwa corona akija Tanzanialazima asande
![]()

Halafu hata hivyo kisayansi lockdown inasababisha mwili kuwa idle, na hii hupelekea immunity kushuka, wengi walio kwenye lockdown wanapoachiwa wanakuwa very vulnerableWatajua hawajui![]()
Yes kabisa, Kufungia watu ndani wakati ugonjwa haufahamiki unaisha lini ni uzwazwa wa ajabu sana.Halafu hata hivyo kisayansi lockdown inasababisha mwili kuwa idle, na hii hupelekea immunity kushuka, wengi walio kwenye lockdown wanapoachiwa wanakuwa very vulnerable
Wao waendelee kupiga musheneHatuna Story yoyote ya kuogopa katika mapambano![]()

picha inaonesha CBD + upperhill + westland combined😂😂😂😂Iyo city sio kubwa kivile...yani ukiwa hapo CBD unatembea upperhill unatembea tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa yaani,Katika majirani waliotuzunguka comoro na burundi wako poa kuliko mfano,hao wacomoro wakikanyaga TZ wanajiona ni nyumbani kwao kabisa
Katika majirani waliotuzunguka comoro na burundi wako poa kuliko mfano,hao wacomoro wakikanyaga TZ wanajiona ni nyumbani kwao kabisa
. Waburundi wapo safi Sana at least wale niliowahi kutana nao. Wangekuwa karibu na Zanzibar kulikuwa na uwezekano wa kuwa nchi moja.Katika majirani waliotuzunguka comoro na burundi wako poa kuliko mfano,hao wacomoro wakikanyaga TZ wanajiona ni nyumbani kwao kabisa