Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Empty thika superhighway at night
FB_IMG_15892819572261999.jpg
FB_IMG_15892819500675667.jpg
FB_IMG_15892819434884169.jpg
FB_IMG_15892819710295851.jpg
 
Hili swali nami najiuliza sn na km hatuna hzo permits tutapata lini?
Kupata permit ni mpaka kwanza uombe hiyo permit, Tanzania hatujaomba kwasababu bado hatujalichukulia Soko la Ulaya kuwa muhimu kwa sasa kutokana na idadi ya abiria. India, China, UAE na nchi za Afrika ndio tumeanza nazo, biashara ikishika vizuri ndio tunaongeza Uingereza na nchi zingine za Europe kabla ya kumalizia kwa Trump.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
i’m sure they’re taking notes rn, lazima tupambane asee, resources za kupeleka nje zipo nying sana nchini kwetu
Af hz mazao zitatutoa sn nchi hii yn km tutaweka jitihada huku pato litapaa fasta, cz hii kitu inahtajika ktk mazingira yoyote yale tofauti na utalii
 
Back
Top Bottom