Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Great wall gardens
images - 2020-05-10T224716.694.jpeg
images - 2020-05-10T224751.969.jpeg
images - 2020-05-10T224744.296.jpeg
 
yani zaidi ya miaka 10 sasa mumejenga nini hebu tuoneshe mulichojenga konza 😂😂 ukumbuke ni zaidi ya miaka 10 sasa tulitegemea walau nusu ya render muwe mushakamilisha yani munataka kutuamisha kua munajenga nini konza 😁 hapa sio nairaland nakukumbusha tena
[/QUO
Lia tu,wacha towers zichomoke ulie kabisa
 
barabara nying za kenya hazina pedestrian walkways, kama zipo bas haziwekwi vizur.. hawana priority na hizo walkways! najua wapo watabisha ila huu ndo ukweli
Post yenye haina hapa tuone
 
yetu neno HAPA KAZI TU lazima lionekane ..
i wish ichorwe michoro kama Mt. Kilimanjaro and other few pics of animals 🤷🏾‍♂️
Mimi nasubiri bunge liishe nisikie phase 3 zilizobaki tenda zikitangazwa😂.
IMF wanasema there is no indication tanzania will slow down kwenye miradi mikubwa kutokana na covid19.
 
Mimi nasubiri bunge liishe nisikie phase 3 zilizobaki tenda zikitangazwa😂.
IMF wanasema there is no indication tanzania will slow down kwenye miradi mikubwa kutokana na covid19.
Majirani wanabisha wanadai hatuwezi kuendelea na ujenzi wakati wa coronavirus! 😂
 
Hii ni city si uswazi, kazi yake ili ikamilike will take couple of years,,hii itakamilika 30years to come, utasubri hadi uzeeke
kama project ina over 10 yrs hazikuchomoka basi musubiri yesu ashuke azichomoe😂😂
 
Back
Top Bottom