Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwamba hii casablanca ndio inataka shindana na night club za mwanaza au arusha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡View attachment 1448188
Daaah, kama hii kweli ndiyo club ya kisasa huko Mombasa basi kazi bado wanayo. Wakati huku kwetu hiyo ni baa ya kawaida tu tena ya mtaani. Nimecheka sana! ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€
 
Pia tuna upcoming 10 lanes,40% done
images (13).jpeg
 
Nimecheka sana, vile vibibi huwa vinataka asubuhi ukibebe ukipeleke ukakianike kikaotee jua halafu likiwa kali unakirudisha ndani, jioni hivyohivyo, kinajinyea na unakiogesha, halafu unakuta kina MK254 wanafungua nyuzi za kusherekea Remitances humu, Wakenya wana maisha magumu sana.
LOL uchumi wa Kenya unategemea wakenya wanaoogesha vibabu vya kizungu ulaya, sasa vibabu vimechukuliwa na Corona na uchumi wa Kenya umewafata kaburini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah, kama hii kweli ndiyo club ya kisasa huko Mombasa basi kazi bado wanayo. Wakati huku kwetu hiyo ni baa ya kawaida tu tena ya mtaani. Nimecheka sana! ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€
yani hawa wanaushuzi wa sayari ya nne๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mkuu hii ni Mada muhimu ifungulie uzi, Kumbe jamaa wanaishi kwa Kutegemea Wabeba maboksi na waogesha vibibi huko Spain [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Haki sikujua hili
LOL uchumi wa Kenya unategemea wakenya wanaoogesha vibabu vya kizungu ulaya, sasa vibabu vimechukuliwa na Corona na uchumi wa Kenya umewafata kaburini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inamaana hujaridhika serekali kuwalipa 10b wakulima wakorosho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

vipi wakulima wenu na wafugaji wanalia tu[emoji116]

Unatafuta pa kutokea[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ya nini zile mbwembwe zote halafu mkashindwa kuwalipa kwa wakati..

Tena tusubiri mda tu, utasikia kuna wengine hawajamaliziwa hela zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tumetoka kwenye ushuzi tumeingia kwneye uharo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1448192
Bado unaumia kuskia f2 ni club ya watoto zama zile[emoji23][emoji23][emoji23]
Usijali, ukija kenya fuatana na wajanja wakufundishe usije ukapigwa km yule mwenzenu aliyeuziwa kachumbari[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom