Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Estates za Nairobi ni out of this 3rd world....
They're best together with S.A, Northern Arabic Corridor and Nigeria

Yaan kwa Dar tungekua serious na Kigamboni wallah wasingechomoa hawa washkaji ila ndo hivo hatukua serious, estates zinasimama kizembe na speed ya kobe kinoma.....
 
Yaan Dar ukiacha hizi what we call our dream houses lakini bado kuna massive low income people still wanabanana uswahilini which is ndio nakubali ni bora kuliko slum za wakora ila ukiangalia jamaa kuhusu malazi wametuacha hatua kadhaa, ila sio mbaya tukiendelea kukaza....

look at their estates ni superb, tunaweza fanya hizi nyumba zetu za uswazi ziwe at least kama zile za Pipeline Estates.....
 
I wished zile sehem za uswazi kama Tandale. Manzese, Kigogo, Mburahati, Mabibo, Keko, Vingunguti, Kiwalani, Yombo tukajenga estates kama za Nyayo, Umoja ( both phase I na II ), Garden, Embakasi, Clay, South C... at least tungepata kama hizo wallah tungekua the best of the bests Africa

Kwasababu hizi estate ni kiboko...
 
Hivi kwanini mainjinia wakandarasi wetu awaweki lever eneo la ujenzi kabla ya kujenga wao wanaenda kuchimba tu misingi ya majengo kama mafundi uchwara wa huku uswahilini wasio na matingatinga, ili ni tatizo hata kigamboni awakuweka lever yaani awafanyi kusawazisha eneo lote kikamilifu

Send by APOLO 1
 
Mimi nasubiri bunge liishe nisikie phase 3 zilizobaki tenda zikitangazwa.
IMF wanasema there is no indication tanzania will slow down kwenye miradi mikubwa kutokana na covid19.
Good

Send by APOLO 1
 
2294823_IMG_20200203_130838.jpeg
2372351_2019-10-28.jpeg
2294822_IMG_20200203_130346.jpeg
qkLpJE7h.jpg
70355349_136093724351047_1111246111587703876_n.jpg
images (94).jpeg
EW0m2LfWAAAfJV2.jpeg
images (95).jpeg
 
Naona horizontal work/ground work imekamilika tarmac pekee imebaki,sasa varticle work/structures like towers,estates and industries imeanza,good job,well done, welcome new born city,the silicon savanna
They are working on tunnels. Those tunnels with be used to pass all amenities from water pipes, electricity cables, Ethernet Cables, Storm water drains, etc. Nothing will run above ground.
 
They are working on tunnels. Those tunnels with be used to pass all amenities from water pipes, electricity cables, Ethernet Cables, Storm water drains, etc. Nothing will run above ground.
Wao that's cool,is completely new fashioned city,the silicon savanna
 
Back
Top Bottom