ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
tatizo lako nini umeambiwa 2.5 yrs den tulia sasa wenge wa nini????😀😀😀😀😀😀naomba uzi wake pls kama uko. nataka nijue kuhusu progress yake maana tangu tarehe moja mwezi Mei... niliskia Magu alirusha kijiwe pale na kusema ni kijiwe cha msingi na tusiwe na hofu kwani pesa ziko.
tokea hapo niko kwenye giza aisee....
kulikoni???