Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo picha inatisha! Hata siwezi kula nyama tena nikienda TZ! Wanafanyia Wanyama Unyama!!
Dah!!... nyinyi watu ni washamba ajab...
hiyo inaitwa "ndafu"...very common among the chagga people of tanzania.
741affe556feb95494c59140782d233e.jpg
 
mimi mwenyewe mdomo umejaa mate manze....misosi mitamu sana hiyo.
kadoda that was a good comeback. ..

clap for yourself. ...hehehe.
lakini Ile nayo ulikuwa dry sana si ndio ......I remember our msukuma mboch never disappointed in her culinary prowess....
 
Kenyatta market. .nyam chom section ......unateremsha na ka tusker baridi...don't you forget
f2ef6c7c9dc8c446502e1b5920d09b65.jpg

ab6eba0414792ca5bb5c0839611b68b7.jpg

698c5ea965a837e64102c8611bd35540.jpg

399002c7458974755090d4b151b7e2e7.jpg

ef55a8f454afccf577d8eb293dace5de.jpg

acb170f3dad44c9c3127aaf84d56fd30.jpg

32cc587290f8f5d5768760be1c9f1ca2.jpg

4e04de5fa7a879824ca5954c3e0a6c56.jpg

14756f37d26e88ebeeb6c72b79387e54.jpg
9a3f3a75955db972a3175839a9aa7ddd.jpg

7cc7ed16955cf6e3c5a6d8cdba46556c.jpg
 
msaada wa hiyo tungo tata wakuuu, mtu huku bila bila 😀😀😀
unajua kiswahili tunachozungumza tanzania ni classic and very modern kiasi kwamba huwa ni vigumu kwa baadhi ya wakenya kutuelewa.

nilijarabu kumfafanulia hapa chini.bila shaka alinielewa.

"kula bata" doesn't mean eating duck meat,it is a swahili slang that stand for enjoying the life.
 
why the big fuss about clash of language jameni....I owned up.Just like in Kenya partying or having real fun inakuwa derived as 'dunda'...or 'kutesa '....got it?
 
unajua kiswahili tunachozungumza tanzania ni classic and very modern kiasi kwamba huwa ni vigumu kwa baadhi ya wakenya kutuelewa.

nilijarabu kumfafanulia hapa chini.bila shaka alinielewa.
Tanzanians shrub with the L and R letters. The best Swahili probably comes from Mombasa .
 
Tanzanians shrub with the L and R letters. The best Swahili probably comes from Mombasa .
Mombasa wanaongea kama wanaimba?nah kiswahili Tanzania lakini wapi hasa wanaozungumza vizuri. ...nadhani jibu sina
 
why the big fuss about clash of language jameni....I owned up.Just like in Kenya partying or having real fun inakuwa derived as 'dunda'...or 'kutesa '....got it?
dunda!!..

"kutesa" ni neno ambalo tulilitumia tz in late 90s to early 2000s.hatulitumii tena kwa sasa.
 
Back
Top Bottom