ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Jipe matumaini kwanza kaangalia statistics za mizigo bandari ya dar tafuta data za 2016 2017 ndio utajua naongea nn na5 ports na combined capacity haifiki nusu ya Mombasa...
Jipe matumaini kwanza kaangalia statistics za mizigo bandari ya dar tafuta data za 2016 2017 ndio utajua naongea nn na5 ports na combined capacity haifiki nusu ya Mombasa...
Mombasa haiingii hats theluthi kwa dar 😀😀😀This is a fact fungua battle ingine mjilinganishe na mombasa
We akili yako sio salama turkey and portugal hao tumewapa kazi sio tunawategemea tunawalipa wajenge kitu amazing ambayo hakuna kwa east and centralMnategemea Turkey???? GDP ya turkey yenyewe iko chini sana u compare GDP ya China.
Angali IPI modern zaidi hahahhahhaa unaumia sana daaaahnaona kuna mtu amekunywa chang'aa apa... ati dar mpaka moro ni 300km... alafu kweni ile train ya ethiopia inatumia makaa???
ntaangaliaje kitu hakunaAngali IPI modern zaidi hahahhahhaa unaumia sana daaaah
Ndio usubiri ujionee Sasa mbona unaharaka hahhhhahahhantaangaliaje kitu hakuna
Angali IPI modern zaidi hahahhahhaa unaumia sana daaaah
go home you're drunkNdio usubiri ujionee Sasa mbona unaharaka hahhhhahahha
Haha yani bado unatumia land size hapo mtashinda had I Sydney, Melbourne, newyork, Capetown juu 20% cbd zingine slums......but Mombasa beats u in the following:Mombasa haiingii hats theluthi kwa dar 😀😀😀
Imeshindwa Nairobi ambayo inaingia 3 times kwa dar itakua hio
Hapo ndipo mliblunderWe akili yako sio salama turkey and portugal hao tumewapa kazi sio tunawategemea tunawalipa wajenge kitu amazing ambayo hakuna kwa east and central
Kaka usijisumbue kichwa mambo yako wazi kabisa Nairobi bado sana kwa dar na mombasa ndio kabisaHaha yani bado unatumia land size hapo mtashinda had I Sydney, Melbourne, newyork, Capetown juu 20% cbd zingine slums......but Mombasa beats u in the following:
1.port
2.GDP per capita
3.suburbs
4.tourism activities
5.Infrastructure etc
6.5 star hotels
Mombasa beats dar is slum its only two towers that Dar can boast mombasa
Eeeh... hata huko Ujapani hamna Go bongo Go!Tunaanza na 300 km pesa watanzania sio mkopo 1.2 billion usd treni ya umeme yakisasa hakuna east and central africa
Nahisi hata KDF huwa wanashiriki hiyo Twitter War. Ndio maana alishababu wanawashika kalio kila kukichaWewe ndio umetulia after kichapo ulichokipokea twitter.
That's a damn killing truth!In their defense, Nairobi, mombasa kisumu na eldoret zote zinafit ndani ya dar... Haha that is their consolation trademark.
Kwani nyie mlijenga?jengeni 200km kwanza.... actually 1m kwanza ndio uje tuongee
Hawakujenga mkuu, hawakutoa hata mia,Nilikwambia Tanzania kuna 5 ports na zote ziko in service elewa nachokwambia hatutegemei only dar port.. Tulieni mulijenga sgr yenu tulikua kimya sasa ni zamu yetu tuoneshe dunia sasa😀😀😀😀😀😀
This is a hell of a consolation prize.I hereby declare NAIROBI the winner of this battle....DAR ES SALAAM is still ages behind... Sorry I meant DAR IS SLUM*