Naona sasa heshima imeanza kushika hatamu yale makelele ya mwanzo yote yamepotea. Wakenya wametulia kama wamenyeshew mvua.

hahaha... ati ASS.... alafu pale mbele nakiche... MAFINGA....Pia sisi tuko na jet fighter ministries na logo ni an F16 jet fighter but this one takes it why lie. View attachment 521435
Inaonesha unaumia sana kuona Tanzania inawachapa kila kona hahhahhahanyuzi za sgr ya Kenya ziko nyingi mbona??? waKenya hawana siri... tumekamilisha 472km ya sgr kutoka Msa - Nbo... ndani ya 3.5yrs na si siri!!! kila kitu kiko open.
io ya kwenu inayojengwa na 'illusions' mutatuambia kama munaijenga 'mida ya ya wanga' na wachawi kutoka Sumbawanga.
Kushindwa mmeshindwa manthread imegeuka kuwa uwanja wa kupiga propaganda badala ya kuonyesha picha.SMH.
Ivo ndio bagamoyo port mlisema...then mkifika Moro tumefika uganda... Mkifika mwanza tulishafika DRC then rail yenu inakua white elephant projectInaonesha unaumia sana kuona Tanzania inawachapa kila kona hahhahhaha
Tuliza mshono 2.5 yrs sio mbali
Jipe matumaini nilikwambia Mwanza sio size yako Mwanza ni size ya Mombasa ukubali ukataeI have been to an Eldoret vs mwanza thread and Eldoret appears even bigger......Tanzanians jameni.....what do you do with your resources? ??honestly?
Ati mwanza city...Dodoma city...Arusha city....lol.ukiona vitu zinaitwa city jameni....hakuna hata clear and organized residential zone. ...
CBD ndio wameweka 4 glass buildings za kudanganya nayo watu macho....lol.None of their number two cities can match their Kenyan counterparts in terms of real estate sector and roads......do these people question why they are in the Least Developed countries category ama roho zao za wivu na Kenya zimewateka
Then you come to Daresalaam their only hope and expect neat organized residential properties and infrastructure. ....vitu unakuta leaves you wondering. That city ndio wanadai kupima nayo THE GREAT NAIROBI! !!!....
Mlete matusi sasa baada ya huu doze ya ukweli....who's first
jengeni 200km kwanza.... actually 1m kwanza ndio uje tuongeeInaonesha unaumia sana kuona Tanzania inawachapa kila kona hahhahhaha
Tuliza mshono 2.5 yrs sio mbali
Nilikwambia Tanzania kuna 5 ports na zote ziko in service elewa nachokwambia hatutegemei only dar port.. Tulieni mulijenga sgr yenu tulikua kimya sasa ni zamu yetu tuoneshe dunia sasa😀😀😀😀😀😀Ivo ndio bagamoyo port mlisema...then mkifika Moro tumefika uganda... Mkifika mwanza tulishafika DRC then rail yenu inakua white elephant project
Tunaanza na 300 km pesa watanzania sio mkopo 1.2 billion usd treni ya umeme yakisasa hakuna east and central africajengeni 200km kwanza.... actually 1m kwanza ndio uje tuongee
Unakosa raha kabisa Mzee Wa iPhone 7 yaani usingizi hupati kabisa 😀😀I hereby declare NAIROBI the winner of this battle....DAR ES SALAAM is still ages behind... Sorry I meant DAR IS SLUM*
300km wapi mpaka wapi msee?Tunaanza na 300 km pesa watanzania sio mkopo 1.2 billion usd treni ya umeme yakisasa hakuna east and central africa
Mombasa ni size ya Dar...Mwanza size yake Kisii.Jipe matumaini nilikwambia Mwanza sio size yako Mwanza ni size ya Mombasa ukubali ukatae
5 ports na combined capacity haifiki nusu ya Mombasa...Nilikwambia Tanzania kuna 5 ports na zote ziko in service elewa nachokwambia hatutegemei only dar port.. Tulieni mulijenga sgr yenu tulikua kimya sasa ni zamu yetu tuoneshe dunia sasa😀😀😀😀😀😀
😀😀😀😀 unatapika kiasi hichoMombasa ni size ya Dar...Mwanza size yake Kisii.
Mnategemea Turkey???? GDP ya turkey yenyewe iko chini sana u compare GDP ya China.Tunaanza na 300 km pesa watanzania sio mkopo 1.2 billion usd treni ya umeme yakisasa hakuna east and central africa
This is a fact fungua battle ingine mjilinganishe na mombasaUnakosa raha kabisa Mzee Wa iPhone 7 yaani usingizi hupati kabisa 😀😀