Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Magufuli ndio famous president from Africa huwa naona hata habari za kawaida tu zikiripotiwa na mataifa ya mbali kama Ghana, Cameron, et

Akiongea na watanzania ukanda huu wote wanamsikiliza
Magu kiboko aisee, af huwa anaspeech nzr ambazo kiukweli huwa znamvuto sn.
 
...na kumcheka deadly, mzee anachemsha kila uchao., mbio za sakafuni huishia ukingoni., the face of Tanzania as at now., afadhali Nyerere mara mia., hawa wana ccm wa sasa wali derail kitambo, muimbaji Faustin Munishi kawaimba., kwa kweli mumeoza mbaya, hamukombolewi hivi karibuni, haswa masikini walio wengi na fikra finyu kama wewe, with blind patriotism syndrome

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia hata kijaluo mkuu tukuelewe
 
A Kenyan researcher writes...
Magufuli Tanzanian President, Unlike most African Leaders, He Is Smart
Screenshot_2020-05-07-21-48-09.jpeg
Screenshot_2020-05-07-21-48-26.jpeg
 
Back
Top Bottom